Day 07:
Implementing logic itakayoweza handle mtu ku filter gari lake kupitia make,model na engine. Logic hii ili iweze kuwa fanisi zaidi na yenye ku perform vizuri
Day 02:
BACKEND DONE😀
mfumo wakuweza kumuwezesha mteja kuona spare kununua ama kulipia kidogo kidogo umekamikilika. Mwisho wa wiki tutatengeneza App UI watu waweze kutest na kutoa feedback. Payment powered by @SwahiliesPay
🎉 Presenting a grid of some amazing design and development projects I personally worked on 2022. Here's to hoping 2023 brings even more exciting paid projects for me to tackle! 🤞💪
Thanks to all 🎄🎆❤️
#UIUXDesigner#FrontEndDeveloper#Logodesigner
5. Consistency
Kila siku kwa siku hizi 14, nitaongozana na wewee kwenye safari hiii kwa ku post maendeleo kwa mfumo wa Day01-Day14.
Unaweza ukatoa maoni yako wakati tuna build pamoja.
4. Development
App hii itaweza kupatikana kwa njia tatu.
1. Simu za Android
2. Simu za Ios
3. Webapp
Muda mwini utaelekezwa kutengeneza version ya kwanza ili kuweza kupokea maoni MVP(Minimal Viable Product). Baada ya hapo utaboreshwa zaidi.
3. Marketing
Hapa ndipo penye changamoto na sehemu nyeti yakuweza kupeleka huduma hii sokoni nakuweza kufanya vizuri. Nitatumia njia ya organic growth. Kuweza kupost huku Twitter,Instagram,Facebook na mitandao kadhaa ili kuweza kupata wateja. Pili, nitatumia njia ya PAID ADS.
2. Business Model
Business model itakuwa ni kununua spare kwa bei ya chini kidogo nakuweza kuongea percent ndogo sawa na market price na kuweza kutengeneza faida. Tukipitia tweet ya @iamKaga tukaweza kutengenza 1%-3% in 3-6months itakuwa vizuri ziadi😀
1. Kuna hilo tatizo?
Ndio, tatizo hili lipo na linauwezo mkubwa wakurahisisha maisha ya watu kwa kuwatolea stress yakuweza kutafuta spare ya magari yao.
14 Days App Challenge.
Spare Parts app ndani ya SIKU 14. Ushawahi kutafuta Spare ya gari yako ukazunguka kwenye maduka ya spare siku nzima? Au unataka kununua Spare ya gari yako lakini hauna hela kamili?
THREAD🧵