@Thereal_taivina Vinna we n mkubw kwenye hii industry na unajijua. Kwang mm sion lazima ya wew kumjib huyu jamaa kama ulivyomjib kwanz n kujishushia brand yko,kutukana mda wote sio vyema kwa mtu kama wew,utajipatia mikos kwenye kaz zako tukuf🙏 watu kama hawa achana nao tyu