@king_hemperion@tanpol Ni vile bado nchi Hii haijapitia misuko suko ya Risasi, lakini hao wanatulizwa vizuri na smg Yao na Bastola, swala ni kujua tu ni halali kwao kukamata au ndio mambo ya wasiojulikana.
@Jambotv_@fatma_karume Kama ambavyo Wana haki ya Faragha, basi wakae huko huko kwenye Faragha Yao hakuna kutangaza Wala kushawishi wengine na kudai haki kisheria Pumbaafu