Leo nimeamka asubuhi in high spirits nikakimbia pale shop, nkashika mayai tatu na mkate, kufika kejani nikafungulia tall boys full volume christina shusho kushusha nyavu, nikawasha gas kufry mayai, kidogo ivi gas ikaisha, kuweka maji kwa kettle kidogo stima ikaenda, ruto must go!