@KIGI90@Roma_Mkatoliki@techs255 Kijana the one who decides which Chanel you should watch is the one who is holding the remote tv. Hawa kama walikuwa well calculated kwamba after Magufuri' death katiba itampa kijiti samia then ndo CCM mtandao walipomchomolea betri ndani remote so he can't do otherwise yangu pale
@JabiryJeremiah@HecheJohn Kukaa gerezani kwa kuzingatia Sheria za mahabusu, na haki za wafungwa. Kukaa gerezani kwa kesi isiyo ya kubumbwa na kubambikiwa. Unafurahiaje kukaa mahabusu na kunyimwa chakula? (Certified stupid)