@Barongo01@ZakayoMmbaga Yes hilo ni tatizo,
complications zinaongezeka za surgery, na unpredictable prognosis hasa uchumi ukiwa mdogo kwa wenzetu wa vijijini, plus traditional beliefs.
Ila hopeful mtam-follow mgonjwa akiwa cooperative
@Barongo01@ZakayoMmbaga Thanks Doc!!
But I find it strange, such delay of 10 days with Acute abdomen,aliwezaje vumilia maumivu kiasi hicho au herbs zilikuwa zinampa relief wakidhani atapona?
Early medical care seeking bado ni changamoto kwa jamii.
ni case study nzuri. Hongera,mliokoa maisha.
Ahsante kwa kunitazamisja mambo katika upande huo.
Lakini ebu tuangazie upande mchungu sana labda ili tupate mkataa.
Kwamba pamoja na ugumu wa mnyororo wa Sheria,Sera na mbinyo kutoka Roma, Washington na kwengineko; havitoshi kutumia hiyo kama Uhalali wa hoja ya Afrika kuwa hoehae kiuchumi na kijamii.
1-Hoja ni kwamba Waafrika wenyewe ni watu waliogoma kusimama kuona Afrika kwa ukubwa.
-Wizi wa mali za umma na ubinafsi wa watumishi wa umma ni sababu ya msingi ambayo “wakosoaji wa mataifa ya magharibi” hamtaki kuikubali kuwa chanzo kikubwa cha mkwamo wa uchumi na kijamii kwa Bara lote.
2-Miaka 60 imekuwa siyo ya uhuru bali ya harufu mbaya ya kutokuwajibika kuboresha maisha ya nchi na wananchi isipokuwa kuboresha mionekano ya “Image ya siasa” na wanasiasa wake na badala “impact” ya siasa na wananchi wote katika nchi.Siasa iwe na ustawi kwa wananchi na siyo ustawi kwa wanasiasa. Hiyo ndg Kenny huioni kuwa ni shida kubwa.
3-Minyororo haiondoki kwa kuivunja kama huna nyenzo za kuvunja hasa ukiwa ni mtumwa uliyechoka na njaa na kiu; bali inafunguka kwa kutafuta “weak-link” yake ama kupata ufunguo wa kufuri. Na hivyo simaanishi kukubali unyonge bali utambuzi wa hali halisi.
3-Urusi siyo kwamba ilikuwa ni dhaifu!! Urusi ni taifa giant, kuanguka kwa Usoviet haiondolei Urusi uwezo wake katika anga za Uchumi na ushawishi wa kisiasa katika vitabu vya historia, Urusi ilikuwa ni Giant aliyeanguka na akaamka akapata balance na kujua kwamba hali imebadilika, hiyo ni tofauti na nchi kama Tanzania ama Kenye au mataifa mengi ya Afrika ambayo uhai wake wa Historia kama nchi haivuki karne, that’s History!
4-Tunaposema hatuna nguvu au nguvu tulizonazo hazitoshei kuingia katika ring ya defiance na walio na nguvu hatusemi kwa sababu ya uoga au kutokujiamini bali tunasema kwa ujasiri wa utambuzi wa hali halisi.
5-Mabepari pamoja na uchafu wao juu ya wengine lakini bado hawakushauri
-Kuiba mali za umma
-Kutowapa wananchi wako elimu ya bora
-Kutofanya miradi yenye kutoa ajira kwa watu wako.
-Kuvunja misingi ya haki na uzaleno kwa watu wako.
Utaniambia ndg Kenny, ni kosa la Mabepari kwamba toka enzi za mjerumani/wakoloni Nchi za EAC (kwa mfano) hazijawahi kujenga miundombinu mipya ya reli ili kurahisha muingiliano baina yao ili kukuza uchumi?
Afrika haina upekee katika historia ya Ukoloni, na siyo Bara pekee liliopata kukoloniwa katika historia, lakini inaweza kuwa bara pekee ambalo watu wake katika tabaka la siasa na uongozi waligeuka kuwa wakoloni juu ya wenzao na baadae kutupa kuamua muaminisha watu kwamba aduo yao ni mataifa ya nje!.
We should demand justice ,freedom and integrity from ourselves before playing “the pointing finger games” to the external powers.
Mataifa ya Nje yanafunga mikataba na nani ili kuiba mali za Afrika?
Nitasema nahau moja kutoka kabila langu kwa kiswahili.
“Hata uvute ngozi ya govi bado haikufanyi kuwa mtu aliyetahiriwa hadi pale utakapoikata/tairi hiyo ngozi”
Paka hawezi kuwa Simba kwa kutunisha mgongo na kutoa vikucha nje.
Reform bad habits and bad spending and address nepotism, face the hard truth with a concrete Vision, find better allies without acting defiant to those you just can’t afford to loose.
Snr Kenny, kwanza kabisa niseme, huu mjadala ni mkali, naelewa huwa hupendi au mimi binafsi sijawahi kuona ukikubali kushindwa katika mijadala mingi katika platform hii.
Lakini katika hili nikusihi kwamba unaenda kwa “hype” badala ya uhalisia.
Nitatumia Kiswahili kwa sababu uwezo wangu katika kueleza jambo lenye hisia katika lugha ya kigeni (English) ni finyu sana. 😎.
1-Kukubali kwamba huwezi kupata haki yako mbele ya mataifa yaliyokuzidi nguvu kwa kujisisimu misuli ye kujitegemea wakati katika uhalisia uwezo wa uchumi na hata rasilimali watu ikiwa duni, hiyo siyo “permanent inferiority” bali matumizi mazuri ya muda na akili.
2-Kama ombwe na siasa isivyoweza kujenga uwezo wa watu kujitegemea basi ukubali kwamba “Siasa ni uchumi na maisha” na hivyo owepo wa ombwe (political vacuum) katika nchi za Afrika ni uthibitisho wa udhaifu wa watu na maisha kiujmla, na kwamba huwezi kuwa na bargaining space wakati unayo njaa kali, huo ni uhalisia na siyo utukufu wa misimamo.
3-Urusi kabla ya kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti, ilikuwa ni taifa lenye nguvu (uchumi na siasa) tofauti na Nchi za Afrika (mfn Wa nchi za Sahel), Urusi ilikuwa tayali na “bargaining space” toka katika historia yao tukufu na ilichofanya ni kukumbatia uhalisia kwa namna ya kwao huku wakiwa na uungwaji mkono na wananchi wao.
4- Ni ngumu leo kuisema Urusi moja kwa moja kwamba ni nchi ya kijamaa! Wanafanya biashara na nchi za magharibi, na wao pia wana operate kama Wavepari tu, Urusi hutunisha misuli kwa sababu misuri ya Urusi haikufa baada ya anguko la Usovieti, huo ni uhalisia na siyo hekaya.
5-Afrika na waafrika wenye mawazo ya kuinuka hapaswi kubeza ukweli wa historia ya mwanadamu kwamba “Utukufu ni kwa wale wenye nguvu” lakini nguvu haziji kwa kumbishia mwenye nguvu, bali kutafuta njia zenye uhalisia ili kupata nguvu hizo, dunia inawapa taji wote wanaojaribu na kujituma toka ndani yao na siyo kutegemea huruma au kukaidi uhalisia.
"And from the days of John the Baptist until now the kingdom of heaven suffereth VIOLENT, and the VIOLENT take it by FORCE."
-Math 11:12 KJV
Huwezi kuwa “Violent” au kutwaa kitu kwa nguvu ukitokea point ya udhaifu (ingawa wewe unakana na kudhani kwamba ukaidi ni cheche ya uimara)!
I’ll ignore the insults and respond to substance.
1. Geopolitics is not a morality play. It is not about fairness or equality. Nobody owes us equal treatment. It is about national interest. It is a negotiation arena through leverage, capability, credibility, and influence.
2. Yes, signals matter. Tweets, language, posture, headlines. But guess what? National interests are complicated. States execute their interests through layers and quite leverage. You cant draw conclusions from every tweet.
2. You talk about “changing power relations.” Fine. Power relations do change. But only through capability, not speeches. Nobody talked the US into power. Nobody talked China into strength. Nobody tweeted Russia into relevance. States earn bargaining power by building industry, knowledge, security capacity, and institutions that work.
3. Look at the Cold War. The Soviets did not build leverage by crying imperialism. They built it through science. That is how you fight for national interest. That is also why you miss what the US is doing in the Sahel. You are reading posture and ignoring structure. The US is not there for morality. It is there because interests moved. That is the whole point.
4. Yes, optionality only exists if you can say no. I agree. But a credible no is not a slogan. A credible no is a capability. If you cannot absorb the cost of saying no, then your no is just nothing. The way you earn the right to say no is to build the capacity that makes your yes valuable and your no costly to ignore.
5. What resistance are you talking about when your life runs on Western tech, Western finance rails, and Western security systems? The latest iPhone in your hand. This platform. The military and intelligence tools your government buys. That is not resistance. That is dependency with attitude. That is a mix of populism and hypocrisy.
6. You do not build a republic through the cheap us Vs them mentality. A republic is built by discipline. By institutions. By competence. By alliances that increase your capability. By refusing fights that burn your strength and choosing fights that expand it.
7. Look at Singapore. It did not become strong by shouting at superpowers. It became strong by making itself useful to all of them while building its own capacity. It welcomed Western capital. It also welcomed Eastern trade. It did not get owned by either side. It built world-class capacity. That is strategic optionality.
8. This is the difference you keep missing because you are so obsessed with us Vs them. If your politics is only posture, you will feel strong online and weak in reality. If your politics is capability, you will look quiet and become hard to ignore.
9. But first, you need to try be a very rational person, try to carry Tanzania’s national interests at heart, and then you might perhaps be able to have the clarity needed to see issues for what they really are. You will understand why Americans/Chinese/Europeans/Russian do what they do. They are not without fault but they go to the ends of the worlds to serve their countries. Can you?
In 2021, I was in church during a building project appeal. I had only 20k, but the way the pastor spoke about God’s favour stirred me. I gave 15k. That month was hard. No miracle money came, just silence and struggle.
With time, as I continued walking with God, learning His ways, I realized something deeper. I did not give out of love or obedience. I gave out of greed, hoping God would quickly repay me. My heart was focused on what I could gain, not on supporting His work or honouring Him.
God later taught me that giving is not a transaction. You do not give to force His hand. You give because you love Him, because you believe in His work, and because generosity reflects His nature in you. When you expect nothing, that is pure love. That is how God truly moves mountains, not through manipulation, but through transformed hearts.
KUHUSU MSAMAHA KWA WASANII .
Majizzo na hao wasanii anaowatetea kuna jambo bado hawajaelewa au wanajitoa ufahamu kwa kuogopa kupoteza "GUNDI" ya kuwa karibu na mamlaka ili wapate huo mkate wao...
It's about 'THE COMMON GOOD'. We have no problem na chama cha siasa mtu anachoshabikia, hiyo ni haki ya kila raia (INGAWA KWA WATAWALA WETU, KUWA MPINZANI NI TICKET YA GEREZA, KIFO, KUPIGWA, au KUNYIMWA FURSA etc).
Wao kama wasanii wana sauti kubwa sana yenye kuwafikia watawala kwa haraka na hiyo 'sauti' ni sisi wananchi tumewapa, we are the commoners. Sasa basi, tunategemea kwa ukubwa wa sauti tuliyowapa waweze kuitumia kutuunganisha pale ambapo UBINADAMU wetu unapotwezwa. Mahatma Gandhi aliwahi kusema ;"The best way to find yourself is to lose yourself in the service of others." Hatuwaoni wakiwa tayari kupoteza mkate wao kwa ajili ya ubinadamu wetu. Raia kutekwa kwa sababu ya kuwa na maoni tofauti na utawala sio haki wala ubinadamu, na haiitaji chama kuweza kukemea. Raia kuuawa kwa kudai haki au huduma fulani ambayo iko kikatiba sio haki wala ubidamu wala haiitaji chama cha siasa... UKIMYA WAO kwenye misingi ya UBINADAMU ndio tatizo letu kubwa na wao...
Kama wanaweza kusifia ujenzi wa miradi, wanaweza pia kuadili juu ya MATENDO YASIYO YA KIBINADAMU bila kuathiri allegiance ya vyama vyao.
Mbona huwa tunawaona wakitoa pole na matamko pale raia wa nchi zingine wanapopatwa na majanga! Kama wanaogopa vyama vyao na kupoteza riziki zao, BASI NA SISI TUNAOGOPA KULA MEZA MOJA NA WAO, WASIJETULISHA SUMU.
Kwa sasa kila mtu ale alikopeleka MBOGA.. Ile ya Diamond kutukana watu wala sio ishu kubwa, yule ni mtu tuu aliyevimbiwa na kiburi cha mali na umaarufu.
Nimalizie kwa kusema..; NJIA PEKEE YA KULINDA UHURU NA AMANI YAKO, NI KWA KULINDA UHURU NA AMANI YA BINADAMU MWENZIO.... There's no better way... Uwe CCM, uwe CDM, uwe NCCR, uwe UBWABWA, uwe ACT nk, when it comes to standing for the COMMON GOOD, you should not be a bystander. UHAI na UHURU wa kila mmoja wetu ni wa kulindwa kwa wivu mkubwa na sisi wote bila kujali chama, kabila, kazi, au dini.
Nimalizie kausingizi sasa... Shalom Alekum🙏🏾🤞🏾
Mwezi mzima wa machozi, mateso, damu na mauwaji ya kutisha Tanzania. May we not keep quiet until justice is served & our nation reclaimed. Mungu ibariki Tanzania.
MATUMIZI YA BAJETI YA TAMISEMI 2025/26
1. Gari ya Mkuu wa Mkoa Simiyu - 420,000,000
2. Gari ya Mkuu wa Mkoa Ruvuma - 420,000,000
3. Gari ya Mkuu wa Mkoa Arusha - 420,000,000
4. Gari ya Mkuu wa Mkoa Dodoma - 420,000,000
5. Gari ya Mkuu wa Mkoa Kagera - 420,000,000⬇️
Bado watawala hawajui vijana wanataka nini?....bado watawala wanaamini kwamba Maandamano ya Oktoba yalitokana na vijana kufuata mkumbo?....Bado watawala hawajui ni haki gani vijana wanadai?...Endeleeni kukaza mafuvu.
HABARI:
Waziri Mkuu wa zamani wa Bangladesh, Sheikh Hasina, amehukumiwa adhabu ya kifo baada ya kukutwa na hatia ya uhalifu dhidi ya binadamu
Mahakama ilisema Hasina aliagiza ukandamizaji mkali wa maandamano ya Wanafunzi mwaka jana, ambapo Umoja wa Mataifa unakadiria vifo vya takriban Waandamanaji 1,400, wengi wakiwa wamepigwa risasi na vikosi vya usalama.
Hasina, ambaye amekuwa akiishi uhamishoni India tangu kuondolewa madarakani, alikosa kuhudhuria kesi hiyo.
Ameikosoa hukumu hiyo akiiita “ya upande mmoja na yenye motisha za kisiasa,” huku akidai mahakama hiyo ilikuwa “uzushi.”
Katika taarifa yake, alisisitiza kuwa Serikali yake ilikuwa na rekodi nzuri ya haki za binadamu na maendeleo, na aliitaka kesi hiyo ifikishwe Mahakamani ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) katika The Hague.
Hukumu hii inachukua nafasi muhimu katika historia ya kisiasa ya Bangladesh, kwani maandamano ya 2024 yalitokana na miaka ya ukandamizaji wa kisiasa na mateso. Pia inaleta changamoto ya kidiplomasia kwa India, ambayo imeombwa rasmi kumrudisha Hasina, lakini haijaonesha ushirikiano
Usalama umeimarishwa kote nchini Bangladesh kutokana na hofu ya machafuko mapya, huku baadhi ya maandamano yakiendelea katika Mji Mkuu wa Dhaka wakati hukumu ikisomwa.
How I wish we eradicate uchawa the way polio was eradicated
Its a poison for coming generations..
Kwamba you may not be qualified but as long as you are ready to leak ass..then you can bypass qualifications demands..sick to the core
Doctors in training are encouraged to consult with senior colleagues when uncertainties arise.
However, resident doctors may face reprimand for excessive contact with senior staff.
This dynamic often stems from an environment of apprehension and detachment fostered by some senior doctors, creating a challenging cultural reality within medicine that is not adequately addressed.
From my perspective, a senior physician who is consistently inaccessible to resident physicians' inquiries should not be entrusted with supervisory responsibilities over them.
Watu hawapendi kushauriwa.
Watu hawapendi kuambiwa cha kufanya.
Watu hawapendi kuonywa.
Ukitaka kulithibitisha fahamu kitu mtu anataka kufanya halafu mwambie tofauti.
Tunapenda kusikia ushauri unaothibitisha uzoefu wetu. Tunapenda kusikia ushauri usiopingana na kile tunachokifahamu. Tunapenda ushauri unaounga mkono kile tulichokwisha amua tayari. Tunapenda ushauri unaoonesha tatizo liko nje yetu. Tunapenda ushauri usiotuwajibisha.
📌 Bookmark this🔥
‼️As we are preparing for internet shutdown and disruptions in #Tanzania ‼️
We call on all VPN companies to help us #keepItOn by providing free VPN
We also call upon any company that the authoritarian regime will use to ensure that we receive free internet access for all
Taarifa kwa umma na mzima swichi
Tumeorodhesha VPN mkianza kuzifungia tutataarifu kampuni husika lakini pia tutapata taarifa VPN mnazotumia na tutazivamia! Mtuache! Kama mmeamua kuzima swichi poa tu 🙄 ila mtuache na VPN!
Baadhi ya internet za bure ambazo ni SECURE (nyingi za bure zinakuwa na limit ya MB ) download SASA uwe nazo
@ProtonVPN@LanternVPN@NordVPN@PsiphonInc@theTunnelBear@windscribecom@privadovpn@expressvpn
Norton VPN
Orbot by Tor
Hide Me VPN
Hotshield VPN
Total VPN
1.1.1.1 by Cloudflare (WARP+)
Thank you for this intriguing case to think about.
The 25 year old patient, complaining of abdominal pain and feeling full after a meal looks very thin.
This is one image from an enhanced CT scan. The liver seems either compressed or the mass may be arising from it. Neither the spleen or kidneys or pancreas or vascular structures are visible.
Only a small amount of what looks like compressed colon is seen. The rest of the bowl is not identifiable. There is only slight elevation (arguably its within normal limits) of the left hemidiaphragm. The heart is midline.
There are no identifiable lymph nodes in this view.
Young people do get cancer. The most common cancers in young adults are: breast cancer, lymphomas (non-Hodgkin and Hodgkin), melanoma, sarcomas (cancers of connective tissues like muscles and bones), cancers of the female genital tract (cervix and ovary), thyroid cancer, testicular cancer, Colorectal cancer and brain and spinal cord tumors.
👉🏼 Neither primary or metastatic forms of these cancers usually present like this in a patient of this age. The possible exception would be ovarian cancer (which can displace intra-abdominal structures similar to a pregnancy.)
The apparent “mass” which fills most of the abdomen has the shape of the stomach to the level of about the pylorus. (It looks to be of the same density as the bladder, so it is likely cystic.) It pushes the colon down and towards the left.
Gastric outlet obstruction can result in a cyst like mass appearance in the abdomen due to gastric obstruction.
Gastric outlet obstruction may be due to mechanical causes e.g: due to a gastric bezoar from hair swallowing etc [though I would expect more air trapping and inhomogeneity, if that was the cause]; an obstructive gastric or duodenal polyp or a malignant tumour involving the gastric outlet; gastric volvulus [though in the one case I saw, the diaphragms were elevated much more in response to the distending stomach, until the stomach was untwisted]; pancreatic pathology such as a pancreatic pseudocyst or tumour; gastric outlet malignancy [she seems young for that]; or something weird like Bouveret Syndrome - which is gastric outlet obstruction secondary to impaction of a gallstone in the pylorus or proximal duodenum.
It could be a cystic or cyst-like lesion (such as a hematoma, lymphangioma or hemangioma) of the kidney, liver, pancreas, spleen or ovary. If it was ovarian I would expect the colon to be displaced upward, instead of squashed down. It could be a mesenteric cyst. They are rare but can be very big.
Besides mechanical obstruction and lesions of other organs, motility problems can cause an appearance of gastric obstruction.
Gastroparesis is the most common motility disorder causing gastric outlet obstruction. This is often associated with advanced diabetes mellitus but it can also be idiopathic. Other causes of gastroparesis include medication use (such as opioids, anticholinergics, and *glucagon-like peptide-1 agonists [which are used to treat obesity, but this patient looks very thin]), viral infections, paraneoplastic syndromes, connective tissue disorders, ischemia, certain inflammatory or neurologic conditions, and complications from surgery.
👉🏼 If I had to choose what I think is the most likely diagnosis (which I would never have done in real life due to the extremely limited radiological and clinical information) - I would be suspicious of either a tumour obstructing the gastric outlet arising from the gastric outlet area, or pancreas or biliary tract; or possibly a large right ovarian cyst.
@Sirddix 😆😆 ,wewe umefika mbali, mkemia tena?
Linapokuja suala la mshahara, sitaki hata kulifikiria, ni maumivu tu, ukilinganisha na investment mpaka upate MD, ukiweza kupata melekezo alternative just take it, Mungu mwenyewe anaona
@Sirddix MDs hatukuwa na maelekezo, I once had a inflated view of how i will become as a doctor, but now, hata kufahamika as a doctor i do not mind🤦🏿♂️.
MD it's like lulu kwenye tope,bongo