Maendeleo ya kijamii na kiuchumi yanaoana moja kwa moja na aina na ubora wa shughuli za siasa.
Wananchi wana maoni gani kuhusu uhuru,ushiriki,maandamano na siasa?
Je uhuru wa siasa unachochea mabadiliko katika nyanja za kiuchumi na kijamii?
#SautiZaWananchi#DemokrasiaYetu