Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) limetaka Spika wa Bunge, Job Ndugai kuulizwa sababu za wanawake 19 waliofukuzwa uanachama wa chama hicho kuendelea kuwa wabunge wa viti maalum. https://t.co/PCP39CiFgt
Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson amewataka Wabunge kutombebesha Rais Samia Suluhu mzigo ambao hastaili na kusema Rais Samia hakuahidi kutoa Milioni 50 kwa kila Kijiji—“Tusianze kumtwika Rais mambo ambayo hajaahidi ikiwa ni pamoja na hili la Mil 50, halikuwepo kwenye Ilani 2020-2025”
EUROPEAN SUPER LEAGUE
In:
- Real Madrid
- Barcelona
- Atletico Madrid
- Juventus
Out:
- Manchester City
- Chelsea
- Manchester United
- Liverpool
- Arsenal
- Tottenham
- Inter Milan
- AC Milan
EUROPEAN SUPER LEAGUE
In:
- Real Madrid
- Barcelona
- Juventus
Out:
- Manchester City
- Chelsea
- Manchester United
- Liverpool
- Arsenal
- Tottenham
- Inter Milan
- AC Milan
- Atletico Madrid
Afisa wa Idara ya Usalama wa Taifa aliniuliza: "Askofu, kwa nini umekubali kuwa Mshauri wa Tundu Lissu"? Nikamjibu: "Kwa nini nikatae kuwa Askofu Mshauri wa Tundu Lissu"? Alinyamaza kimya! Kwa nini watu wengine hawapendi kuona viongozi wa upinzani wanakuwa karibu na Maaskofu?
Nilishi katika nyumba iliyokuwa na uchafu mwingi sana. Kila nilipojitahidi kuuondoa uchafu ule, kuna watu walikuwa wanachukia. Kwa nia njema kabisa, niliendelea kusafisha uchafu hadi nilipogundua kuwa maisha yangu yalikuwa hatarini. Kumbe wenye uchafu walitaka kuniua! Nikaondoka!
Bob Marley talking about Marijuana.
“Herbs a plant. Why these people that wants to do so much good for everyone calling themselves governments and this and that. Why they say you must not use the herb?...” –Bob Marley
Happy 420! #420day