@BesteNicolas Nilisoma kitabu cha Atomic habits kikanifundisha namna ya kuacha tabia kwa urahisi ni kutafuta alternative similar activity that will replace. Mfano ukitaka kuacha nyeto tafuta mwanamke wa kuishi nae karibu ili ukiwa na midadi unapiga show. Pili acha kufuatilia maudhui ya ngono
@rovicofficial__ Sex siku hizi imekua cheap sana kwa dada zetu. Kama vijana wa kiume sasa hivi uanaume wako unapimwa na nguvu yako ya kihisia kutokua cheap kwa kuendekeza sex
@1Maliga Duniani hakuna haki aisee. Kudai haki ni sawa sawa na kujitangazia vita na wenye mamlaka. Magu tu alipigwa sana vita na alikua rais sembuse mtu baki. All in all rest easy mwanetu
Martin Masese alikuwa akimnadi Mbowe wakati wa uchaguzi wa chama Wala hakujificha,Baada ya uchaguzi kumalizika aliendelea na kazi ya kupambana na CCM bila kuweka kinyongo,Leo hii wamehama waliokuwa na mapenzi na mbowe yeye amebaki Amechagua uhai wa chama
tumpe retweet 1000