Nani anaweza kunielewesha kuhusu hizi teuzi za waliostaafu. Kustaafu maanake Ni kuwa mtumishi wa umma kachoka na ufanisi wa kazi umepungua. Sasa kumteua mstaafu wakati Kuna vijana wengi mtaani Tena waliosoma vizuri, Kuna logic yoyote? Je Ni maslahi Ni kwa Taifa au Kuna Siri gani?
Kwa mujibu wa ibara ya 54(3) ya KATIBA ya Tanzania, BARAZA LA MAWAZIRI ndicho CHOMBO KIKUU cha KUMSHAURI RAIS katika utekelezaji wa MAJUKUMU yake. Pia kwa mujibu wa ibara ya 55(4) namna pekee ya KUMUINGIZA MBUNGE SERIKALINI ni Rais kumteua WAZIRI au NAIBU WAZIRI. Lukuvi ni MBUNGE
UWANAHARAKATI wa Haki za binadamu, UHURU wa Mahakama, UTAWALA wa Sheria si mapambano dhidi ya Serikali.
Serikali inayopenda HAKI itawakumbatia wanaharakati wa aina hii. Serikali inayopenda DHULMA itawaona ni ADUI.
Siasa ngumu sana, Babu yangu alikuwa kada, hakuwahi kuteuliwa, Baba mpaka fimbo yake ya kuchungia ngombe kaweka nembo ya CCM, nami naona dalili zote kuwa sitapata kitu ,
Kila mmoja maslahi binafsi, 2024 na 2025 walioteuliwa watawachagua waliowateua ...sisi wananchi tutafanya yetu
Panapo majaliwa, siku chache zijazo tutasherehekea sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya. Nawatakia nyote kheri katika sherehe hizi ili ziwe za furaha na zisizo na misiba inayoweza kuepukika. Nawasihi wasafiri na madereva kuzingatia sheria za usalama barabarani na kuchukua tahadhari.
@godbless_lema Inasikitisha sana.
**
Naikumbusha serikali kurejesha Fao la kujitoa! Fao hili lilitumika kama mtaji pale ajira inapokoma.
Kitendo cha kuondoa #FaoLaKujitoa na kulibakiza kwa wabunge na mawaziri ni ubinafsi wa hali ya juu
@SuluhuSamia
Retweet
Cyprian Musiba alitumika vibaya awamu ya dikteta, akaanzisha gazeti la Tanzanite akapata zabuni za kutangaza biashara za serikali, akatumia jukwaa hilo kutugombanisha na mamlaka na tulishughulikiwa. Au nimfungulie ‘likesi’ kwa kuniweka katika orodha yake CHAFU, tumdai mijifweza?
@fatma_karume Amen! Apumzike salama
***
Naielekeza serikali kurejesha Fao la kujitoa! Fao hili lilitumika kama mtaji pale ajira inapokoma.
Kitendo cha kuondoa Fao la kujitoa na kulibakiza kwa wabunge na mawaziri ni ubinafsi wa hali ya juu.
Baba , Viongozi Uliotuachia Hawana Maono ya Taifa wana Maono Binafsi, Kila Mmoja Anajipambania Arudi Miaka Mitano Mingine ili Aendelee Kutafuna Nchi. Tuwafanye Nini?
Ujinga wa watu wazima ulikuwa kutokujua kusoma na kuandika. Sasa hivi Kuna vijana wengi wasomi na madigrii zao. Huu ujinga wa vijana Ni ujinga wa kitu gani?
Wakati nasoma madrasa Ustadhi aliwahi kutuasa , tukemee maovu yasitendeke mbele yetu,tusikubali watu waongo ktk jamii zetu tukipewa dhamana tutende haki tusitumie mamlaka kusulubu wengine..! Madrasa ulio soma ww niipi ? Mbona unakiuka miiko ya Imani yetu Waislam..