@siadevinci Nataka kuona mimi na mwamposa nani mtabiri, yaani kolo huku anakula goli sio chini ya 3... Kiufupi anakandwa nje ndani na nyumbani anatia aibu zaidi
@gerryjn_@ajiratimes Pindi unasign up ukiweka namba ya nida utaambiwa uweke namba ambayo ulitumia kusajilia hiyo nida ndio wanatuma verification code humo!! Sema ukimaliza process za kuverify kulog in ndio kisanga