@kadogooalfonce@KingPablotz@iammpemba Na ndio maana huko Ulaya kwenyewe. Ukizungumzia mvuto na burudani, basi Avengers kimvuto ni kali sana ila kama ukizungumzia stunts tu, mm naona EXTRACTION (1-2) ilifanya poa sana kuliko Avengers.
@kadogooalfonce@KingPablotz@iammpemba Stunts huwa zinategea na watu unaowachagua na script writer anataka nini?. IP Man(1-3), Ong Back(1-3) na iliyojizolea umaarufu zaidi mpaka kuingizwa kwenye tuzo mbalimbali ni The Raid 1 ,stunts zake 90% ni actual movements bila kutumia editing nyingi. Na ndio watu vitu tunapenda
@PresenterNoah Huo uwanja wa Zanzibar haukizi viwango vya kucheza Fainali. Isiwe tabu mechi inaenda Amahoro au Algeria. Ila kupeleka fainali Amaan Complex haiwezekani
@Jeba_OG@Ramadeo18 @Gassoline1000 Msimu wa 2022/2023 alipandishwa mechi za mwishoni na hakuwa na impact hiyo kiukweli. Ila kusema kwamba ni WA kawaida ππππ hapo unadanganya mkuu.
Lamine Yamal sio wa kawaida mkuu
@ReaganMichael5@singidabssc@Tanfootball@jemedarisaid@CrownMediaTZ Ukishawishi ni kama unapelekea maamuzi tofauti na yale ya mwanzo. Mbaya zaidi kesi ilishaenda mpaka CAS na maamuzi yakatolewa kwamba kesi imefutwa. TPBL& TFF wamepatia nguvu hapo na watasimamia hapohapo. Ukimsikiliza Kabudi vizuri utaona kabisa Serikali kamwe haitoweza.
@ReaganMichael5@singidabssc@Tanfootball@jemedarisaid@CrownMediaTZ Gulamali alisitishwa kwa sababu kanuni ya 81 ya Bunge inazuia kushutumu mtu juu ya tuhuma ambazo taarifa yake haijafika rasmi bungeni na pia hayupo kwenye kikao husika cha Bunge. Pili, Serikali haina Mamlaka ya kuingilia masuala ya mpira, ndio maana hata Kabudi kalikwepa.
@Tztrollfootball Nilikuwa naikubali sana ila siku nilipoangalia THE RAID 1. Nikabadili maono yangu. Sababu moja tu, most of actions zilikuwa imaginary kuliko the Raid. The Raid stunts zake nyingi ni halisi, ukiachilia mbali editing za watu kufa ila skills, movements are all real.
@Tztrollfootball @huncho_smile Ni maono yako mkuu ila The Raid tena haswa ya kwanza ni kali kuliko hii.
Kwenye world market, Tony Jaa hatambuliki kupitia SPL 2 ila Ong Back.
SPL 2 stunts zake nyingi ni imaginary haswa last fight scene .
@Jeba_OG Unasemaje Ligi dhaifu halafu zinadominate michuano ya UEFA na Europa?
Sevilla mara ya mwisho kachukua Europa alikuwa anapigania kutoshuka daraja. Sasa hii hoja sijaielewa kabisa.
@JMariotz@Caamil8@Arafat__AH@YoungAfricansSC Maono yako ni mazuri ila huo mvuto unaozungumzia hautokuwepo. Ligi ya Bara ina mvuto zaidi na hakuna Wanayanga wanaojielewa wataruhusu huu ujinga kwa sababu hutocheza CAF Champions league. Wachezaji hawatovutiwa kuja kucheza kwenye timu yako na huko hata ushindani hamna.
@faraji1980@WideEdson Kaka labda ufatilii mechi za Ulaya vizuri. Ileile siku Simba kaongezewa 15 mins, Ujerumani pia kilifanyika hichohicho. Halafu pia baada ya kadi nyekundu kutoka dk ya 74 yule golikipa katika dakika ya 84 na mpira ukaendelea kuanzia dk ya 85 plus.