Aisee kama ni mateso tumepitia mateso ya kila aina nchi hii
Kuna wakati napokea message nyingi za kuumiza - maana mi nasikia maumivu wanayosikia wengine - sina moyo wa chuma kama hawa wauaji.
๐ข
People have suffered and continue suffering in #Tanzania and these killers call it a peaceful country
Jamani tutafute UJASIRI tumalize haya mateso
Poleni sana wote mliopitia na mnaoendelea kupitia maumivu na mateso makali!
Haya nayo yatapita
Tukiwa tunatengeneza Katiba Mpya, hili suala la RC kusimama jukwaa la chama halipaswi kuendelea. Eidha vyeo hivi vifutwe au iwe kazi ya kuomba na kufanyiwa interview na wasiwe wanasiasa. na wawe chini ya mkoa husika.
Hivi polisi hawa wa sasa wanaelewa kwa nini duniani kote kuna sticker maalum kwenye gari la daktari?
Yaani daktari habugudhiwi kwenye traffic! Mnajua kazi anayoenda kufanya?
Sasa mmekaa na Dr Agonza na kumtesa huku wagonjwa wanateseka! Dunia duara! Malipo hapahapa
Mtakumbuka maneno yangu!
#TutaelewanaTu
Watanzania nawaita mara 3, mkiendelea kuwasapoti wasanii na watu maarufu baada ya kwenda Kizimkazi kutoa pole kwa mtu alieua mashabiki wao sababu wananufaika na huu mfumo basi mtaendelea kuonewa, kutekwa, kuuawa na kushindwa kuchagua hata kiongozi wa nyumba 10 10โฆ
Watanzania amkeniiiii, sapoti mliokuwa mkipeleka kwa wasanii sasa iende kwa Lissu, Heche na CHADEMAz
Silaha mbili walizobaki nazo CCM na Samia Suluhu ni Wasanii na Mpiraโฆโฆ
Watanzania lazma tuzi neutralize hizi silaha.
Leo msanii namba moja Tz, Diamond kaenda kutoa pole kwa mtu alieua mashabiki wake hata mwaka haujaisha,
Hata uchungu na mashabiki wake waliouawa ila ana uchungu na yule alieua mashabiki wake ili tu yeye maisha yake yaende.
kwanini Watanzania tunashindwa kuachana na wasanii kama hawa??
โKifo ni kifoโ
These words will continue to haunt Samia Suluhu
This was her reaction to the brutal abduction and murder of Ali Kibao
She dismissed the death and chided international concern by saying it is just another death
Umemtupa Tundu Lissu jela kwa kesi bubu, adhabu yake anyongwe afe.
Lissu hajaenda clinic zaidi ya mwaka, ili afe.
Lissu ana risasi mwilini, analala sakafuni, ktk baridi, na mazingira magumu, ili afe.
Mmejaribu kumpa sumu, ili afe.
But God works differently.
Alhamdulillah!
Mlikubali kutumika kutuumiza na kutubagaza mkajua Rais haramu atawapenda na kuwaachia urais 2030
Sasa mmekuwa maadui
Mlimfanyia fitna mbaya sana Nchimbi, sasa zamu yenu na in your cases mtajibeba!
Hamjawahi kuongea haki au kukemea maovu mmekuwa sehemu ya dhulma!
#TutaelewanaTu
Hii habari was 100%. Sikutaka kui-confirm at the time maana niliona ni kama nitakuwa namsaidia Mwigulu.
Na niwaambie tu Katambi nae atatumika kufanya ushenzi anaoufanya kwa Watanganyika wenzie, wakishamaliza kumtumia mtaona kitakachomkuta na tukubaliane mapema hakuna Mtanganyika kufungua mdomo siku Katambi atakapopotezwa na kina Abdul.
Useful idiots!!!!!
Wazee wastaafu tuna haki kutoa mawazo yetu tuwe ndani au nje ya CCM. Umri tumepewa na Mungu asiyetenda kosa. Ni mamlaka kutafakari ushauri wetu na kuupokea au kuupuza au kuuboresha KIDEMOKRASIA. Badala ya kujibu hoja wanakuja machawa kutushambulia kwa propaganda za kashfa za uongo. Kwa nini hamupeleki tuhuma hizo nzito mahakamani? Miaka nenda, miaka rudi? Hamuwezi kutunyamazisha tunapotetea haki, ukweli misingi ya amani na maslahi mapana ya taifa na mustakabari wa vizazi vijavyo. Jamii inayojielewa inatambua hamjui mtendalo. KAJISAHIHISHE