@Getrude_mollel CHADEMA MFANO WA CHAMA CHA KUIGWA WKA DEMOKRASIA...
MGOMBEA HAJIPISHI TU..NI KURA TENA ZA LIVE ..ACHENI KUJITOA AKILI..UKWELI MNAUJUAA....
@Cutyhusnah Sikujuii ila maandishi yako hazina utashi wako binafsi..
Unasifiaa kila kituu..kiwe kibaya au kizuri wewe unasifiaa mama tu ..kila kitu mama..hivi hujuii kuwa hata huyo mama ameshajua mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa?