@JamesMbowe4 Lakini ww sijui tukuweke kundi gani maana hujafanikiwa kisiasa na bado uko upande wa watu wenye chuki na uchawi ndani yake yani ni kasheshe
@MDigala24@Tinahcristiaan@EngMapundajr Hatuishi kwa kutumia mifano ya wengine ila kwa namna yetu wenyewe na ndio maana kila mtu atakufa siku yake, kingine mwanaume kua na insecurites haijakaa poa jiamini ww na punguza kua ujuaji kwenye maisha ya wengine huna yako mzee?