@EfmTanzania@rollymsouth@musakipanya@IreneKillenga@SwebbeSantana Big up mkuu @rollymsouth na hio ndio falsafa ya elimu yetu inatazamia kuwa hivo. Kongamano kubwa la sera na mitaala ya elimu limefanyika na wadau mbali mbali wamechangia ukipata muda visit website ya wizara ya elimu utapata rasimu ya sera iliopendekezwa hope utapata picha.