@BaricKGL Oyaa kwani mnataka mshahara usiguzwe hata kidogo?? Mnataka msiishi ukilipwa ufe then unafufuka kulipwa tena unakufa? Yaani hauna maisha yanayoendelea kwako ? Majamaa reality ya maisha ni tofautii
@jaliluzaid Viwanja na timu zipo kibao sana hapo dar
DIT-chuo
UDSM-chuo
Makumbusho-ndani mule kwa wazee wa nchi😊
KIUT-gongo la mboto
Magereza
TBS ubungo
Viwanja vya TPA -Kurasini
Twalipo
Bweni -JkT
IST Masaki
Hivo vyote ni viwanja na teams wanafanya mazoezi kila siku pitia social medias