Ila kuna saa unakaa unawaza kama haya yanawatokea watu maarufu wenye uwezo, ulinzi na sauti, je kwa wananchi wa kawaida ni mangapi? Anayeweka damu kwenye jambo linalotatuka kwa maongezi ni mtu mnyonge sana. Pole sana kaka na Allah akupe ahueni turudi kujenga taifa.
Ibrahim Juma angeisoma Katiba yetu na KUIELEWA!
Kazi ya Mahakama ni utoaji HAKI na si utoaji WAJIB.
Aache SIASA afanye kazi ya Mahakama chini ya ib 107A ya Katiba.
"Nyinyi Waandishi ndio muna jukumu la kuhakikisha jamii inaachana na mfumo dume na badala yake inafahamu juu ya usawa wa Kijinsia katika nyanja mbali mbali kama vile Elimu, Ajira, Uongozi nakadhalika" Mwandishi Mwandamizi Zanzibar, Asha Abdi
@TAMWA_Zanzibar@TAMWA_
"Hakikisheni munatumia Takwimu sahihi kwenye makala zenu kwasababu Takwimu ndizo zinazoonesha Hali halisi ya jambo na Mamlaka husika inaweza kuchukua hatua kupitia makala yako" Mwandishi wa The Chanzo- Najjat Omar @TAMWA_Zanzibar@NuktaTanzania@TAMWA_@TheChanzo#MwanamkeKiongoz
Wandishi wa habari wametakiwa kutumia takwimu kwa usahihi wakati wanapofanya kazi zao ili waweze kuzalisha habari nzuri#MwanamkeNikiongozi@TamwaZanzibar
Wandishi wa habari wametakiwa kutumia takwimu kwa usahihi wakati wanapofanya kazi zao ili waweze kuzalisha habari nzuri#MwanamkeNikiongozi@TamwaZanzibar
Wandishi wa habari itumieni mitandao ya kijamii wakati mnapoandika habari zenu ili muweze kupata fursa mbali mbali za kimaendeleo zilizomo kwenye mitandao hiyo Gaspa Chas anaeleza#MwanamkeNiKiongozi@TamwaZanzibar
Wandishi wa habari itumieni mitandao ya kijamii wakati mnapoandika habari zenu ili muweze kupata fursa mbali mbali za kimaendeleo zilizomo kwenye mitandao hiyo Gaspa Chas anaeleza#MwanamkeNiKiongozi@TamwaZanzibar
Wandishi wa habari vijana wametakiwa kuandika habari ambazo zitaifanya Jamii kuondosha itikadi potofu juu ya mwanamke kushiriki katika nafasi za mamuzi
#mwanamke ni kiongozi@Tamwazanzibar
Wandishi wa habari wametakiwa kuielimisha jamii ili waweze kutoa fursa sawa kwa mwanamke na mwanammme ili wote waweze kufikia malengo yao waliojiwekea
#MwanamkeNiKiongozi@TamwaZanziba
Wandishi wa habari vijana wametakiwa kuandika habari ambazo zitaifanya Jamii kuondosha itikadi potofu juu ya mwanamke kushiriki katika nafasi za mamuzi
#mwanamke ni kiongozi@Tamwazanzibar
Mdau wa https://t.co/OgiXhqnvz2 anasema amegundua Mapenzi hayahitaji utumie Akili nyingi sana na usipojifanya Mjinga utaishia kulia kila Siku
Unakubaliana na Mawazo yake?
Mjadala zaidi https://t.co/JdnUzRaPlB
#JFStories#JFChitchats#Maisha#JamiiForums#Mapenzi#LifeLessons
Chama cha wandishi wa habar wanawake Tamwa cha shauriwa kutoa elimu kwa jamii, mwanamke yyote atakaetelekezwa na mumewe akiwa mfanya kazi, afike serikalini kutoa malalamiko ili akatwe mshahara wake#zuiaukatili wa kijinsia
@Charles_Gaspary@PembaLiveRadio
Kukosekana kwa uhuru wa habari haumuathiri tu mwandishi wa habari pekee bali hata jamii kiujumla, hivyo ni wakati kufanya marekebisho Sheria ya Usàjili wa wakala wa habari Magazeti na Vitabu namba 5 mwaka 1988
#Tamwa Zanzibar
Kama kuna vifungu vya Sheria vinakwaza uhuru wa habari, ni vyema Wandishi wa habari mkavisemea ili Serikali iweze kufanya maboresho, jambo ambalo litawawezesha kufanya kazi zenu kwa ufanisi Matter Zahor alisema
@TAMWA_Zanzibar@TAMWA_
Tumegundua kwamba Michezo yote ya Wanawake imekufa kutokana na mfumo dume ambao umetawala katika Jamii, wanasema Michezo kwa mtoto wa kike ni uhuni Haura Shamte alieleza
@TAMWA_Zanzibar@TAMWA_#Michezo kwa maendeleo