@earadiofm Mna utoto sana nyinyi akina mwigulu, acheni kukopa hela hio pesa ilikua unazuia OC za mwezi mmoja tu kwa taasisi zote za serikali, hawawezi kufa kwa kukosa OC ya mwezi mkoja then unajenga hio hospita nyie kila kiti soln ni kukopa huo ni uvivu wa akili, changamsha akili nchemba
@khaledponera@Advocate_Jebra@tanpol Huna akili, kwaniji wewe ukila ugali tutakuuliza kwa nini hauli wali, si choice ya mtu kwani unawalipa hao wanakuja kwa pesa zao na gharama za kwao,kama mnataka kutofatiliwa jitoeni umoja wa mataifa muwe kisiwa
@EngMapundajr Wezio waliisha achana na tuvitu twa kutishana vitoto vya digital vinapiga A AA kwakwenda mbele wanakuona mbogamboga tu, katafute hela acha kuogopesha wapi tuvitu tudogo, Mzumbe hio wanasoma hata watu wa Public admn
@zamoselee@_itsmalume Ndio nimeshangaa na mimi hajui hata anataka kusema ninj na hajui nini anakiongea maandishi mareeefu yamejaa wakuu wakuu wakuu, sijui nani wakuu zake sasa anaojaribu kuwa taarifa