Ewe Daudi! Hakika Sisi tumekufanya wewe uwe Khalifa katika nchi. Basi wahukumu watu kwa haki, wala usifuate matamanio yakakupoteza kwenye njia ya Mwenyezi Mungu...Quran 38:26 KSK
Naibu waziri habari, utamaduni, sanaa na michezo, anasema alipochauliwa kipaumbele chake cha kwanza ni maadili.........sisi wasanii chetu ni bishara ya sanaa kuwa kubwa hapo tumepishana kidogo mweshimiwa
#Tanzania Accusations levelled against the @FBI meddling into Tanzania's internal affairs without substantial evidence, calls for the Ministry of Foreing Affairs to elaborate on the matter. Bilateral relations at times have been damages beyond repair by such reckless statements.
Sasa nadhani muda umefika tukubali uhuru wa mawazo na kukataa vitisho visivyoeleweka. Uhatari wa independent thinking?
Tutaanza na kubadilika kimawazo
So hashtag hii ya #ChangeTanzania ipo na itaendelea kuwepo mpk kila mtu aelewe haki ya kikatiba ya uhuru wa mawazo!
Mabadiliko ni neno la kutia hofu kubwa mioyoni mwa wale ambao kwa wakati huo wameshika hatamu za uongozi. Na kadri wanavyoendelea kuwepo madarakani ndivyo wanafikiri mambo yanatakiwa yaendelee kuwa hivyohivyo na neno Mabadiliko huzidi kuwatisha #ChangeTanzania
Wapo ambao wanaingia kuongoza wakiwa na lengo la kuleta mabadiliko lakini wakishaonja asali ya uongozi wanagundua walichokuwa wanapinga kumbe ni kitamu! Basi wanarudi kwenye hali iliyopo na kuanza kwa hofu kubwa kupinga mabadiliko yaleyale waliyokuwa wanayahubiri #ChangeTanzania
I used to play against the Arsenal Famous Back 4. They were like a brick wall. I had to wear shin pads in the players lounge...
This Arsenal defense couldn’t harm a bee
In PoliSci literature on activism, e.g Sullivan(2018), yesterday's Musiba press (in Tanzania) could be, arguably, categorized as #screening. But we don't know yet. Our work, as academics, is to observe and try to connect dots. This takes time.
Serikali ilisema kuwa haikufuatilia madai ya Lissu kufuatiliwa na Nissan kwa kuwa hakwenda kuripoti polisi,
Leo Mambosasa anasema watafuatilia majina ya watu waliotajwa kuwa hatari hata kama yametajwa na kichaa, Musiba ameenda kuripoti Police?
@ManenoIzaak@MarekaMalili
@nikkwapili Mapolisi ni wauaji wenye kibali cha kikazi/
NA ndio maana nawaogopa kuliko hata majambazi/
Langa was not only the Illest Mc but also the Realest