UMEPATA WAPI NYUMBA YA MIL 100 NA GARI YA ML 50 NA MSHAHARA WAKO NI LAKI 5?
:
โUkiwa kiongozi wanataka washuhudie una maendeleo ya haraka usipokuwa nayo jamii itakushangaa, tunaishi kwenye jamii ambayo mtu wa hovyo anasifika usipokuwa makini utaingia mkenge,
Mwaka 1969, vijana watatu walianzisha biashara ya kusafirisha mizigo kwa mtaji kidogo waliokuwa nao, vijana hao ni
1. ADRIAN DALSEY
2. LARRY HILLBLOM
3. ROBERT LYNN
Ambapo waliunganisha majina yao na kuchukua herufi za kwanza kwenye majina yao ya mwisho na kuipa biashara yao jina la DHL.
Miaka 55 baadae DHL inamiliki ndege 250, magari 32,000 na kuajiri wafanyakazi zaidi ya 550,000 na kusambaa matawi ya kampuni hii popote duniani. DHL sasa inakadiriwa kuwa na mtaji wa zaidi ya dola bilioni miamoja kwa sasa,
Katika maisha ungana na watu wanaozungumzia miradi, biashara, mafanikio, ndoto na malengo. Sio watu hasi, waoga, wavivu na wanafiki. Rafiki yako akikataa kuungana nawe kuanzisha biashara, huyo si rafiki. Kama ndugu yako akikataa kukusaidia ili uendelee katika biashara yako... huyo si rafiki. Ikiwa umeiingia kwenye biashara... shikilia sana... ilichukua miaka 55 kwa DHL kuwa DHL. Mafanikio yanahitaji muda, bidii, akili na umakiniโฆโฆ Copyright to Identity Africa
Endelea kujipatia KITABU cha Ujasusi kwa bei rahisi ya 80,000/= tu.
Nunua kwa
0715865544
0755865544
(Yericko Nyerere).
Nje ya Dar nauli ni 8,000
HAKUNA OFA
KUBWA KULIKO YOTE, Kurasa 1400 za kitabu kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine zinakujia
Kaa tayari kukipokea, kwa bei ya 150,000/= tu
Kitabu kina Kurasa 1,400
Sura 1-14,
Marejeo 389
Bei ya Oda sasahivi (Pre order) ni 80,000/= Bei ya soko 150,000/= (Kitabu kwaajili ya wote). KIKO MITAMBONI.
Nunua kwa:
LIPA NAMBA TIGO 7489022
LIPA NAMBA VODA 5352627
TIGOPESA kawaida 0715865544
CRDB BANK AC No 0152241955000 (YERICKO YOHANESY NYERERE).
Kwa Dar ni free delivery
Nje ya Dar nauli 8,000/=
Jinsi ya kuwasilisha hoja kutana na Mh. Tundu Lissu anaejikana kwenye hoja anayoitoa na kuiachia msala wote Katiba ya Zanzibar kwenye hoja ya muungano, fuatilia utapenda Nondo hizi.
Video: April 16. 2014.
Kama Tutafungwa basi Huyu jamaa atakuwa kafanya kazi Yake vizuri sana, Yani anavyoichambua Yanga hata Benchika hawezi ndo maana Makolo tunawapaga Goli 5
Kwa niaba ya wengi na wanaouliza wasome nini kati ya Computer Science au Information Technology (IT)
Swali, kuna utofauti gani kati ya Computer Science na Information Technology?
Hizi ziko related but ziko tofauti when comes to studying and choosing career path.
Twende ๐
1. BONDWA PEAK:
Si rahisi kufikika ni kila mtu sehemu hii kutokana na umbali na mwinuko wake.
Bondwa peak ni 2080mita kutoka usawa wa bahari na ni mwinuko mrefu kuliko yote kwenye safu ya milima ya uluguru.
Ukifika utajionea ndege wazuri,maua,ngedere n.k
#BUNGENI: Ukaguzi wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) umebaini, jumla ya Magari ya Serikali 547 yalikuwa yameegeshwa kwenye Karakana za Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na katika baadhi ya Taasisi za Serikali bila kutumika
Ukaguzi ulibaini 43% ya Magari yalikuwa yameegeshwa kwenye Karakana za TEMESA kwa zaidi ya Miaka mitatu (3) kutokana na sababu mbalimbali kama vile Ajali, Matengenezo, Maegesho, na kusubiri Vibali vya Uondoshaji
Soma https://t.co/cgtzEQZKjT
#JamiiForums #Accountability #Governance #Uwajibikaji