@Bleezard@KetiApp@EneoApp The problem i see is the so called Madalali. They control the Market as if they own those Property. am confused when Most of landlords they depend on them like hell π€·πΎββοΈ
Kama upo kazini hadi mida hii au ndio unamaliza kama mimi (00:54am) na hapo ulipo hata haushawishiki kukata tamaa ukiamini one day utatoboa kwa jasho lako jitambulishe kwa RT moja ya subra tafadhaliβ¦.
@kitilam Prof mkumbo, Barabara ya Kimara kwenda Bonyokwa Imekuwa Kero sana. Watu Wanateseka na Vumbi pamoja na Ule mtikisiko unaotamokana na Barabara kuwa mbovu. Embu fanya jambo kwa ajili ya wanamchi wako wa Kimara