SIFA ZA WATU WENYE NYOTA YA TUNDU LISU(AQUARIUS)...RAISI WA 2030.
ni watu wachangamfu, wavumbuzi na wenye akili za kubuni jambo au kitu. Ni watu ambao wenye furaha wakati wote lakini inakuwa vigumu wakati mwingine kuwa karibu nao. Ni waaminifu na wakweli na wako tayari wakati
@Theklaschulte2 ππ upo sahihi hata wenyewe kwenye mahusiano hawaaminiani kuna Marangu,Warombo,Machame,Kibosho na old Moshi uanze utafiti kwenye jambo lako ili usiwahukumu wote.