@fbuyobe Amin amin nakwambia hakuna binadamu yeyote aliyepo hai sasa atafika 2175. Ni swala la muda tuu nasi sote tutakufa. Hata watesi nao wako mbioni kuingia kaburini. Wapumzike pema waliotangulia
@gabyconscious Mtu ana ofisi kabisa kila siku ipo wazi unamuitaje tapeli? Hujafanya nae biashara ndio maana. Ila jamaa amenyooka sana na malipo unalipa ofisini na unapewa mkataba kabisa. Acha story za uchochoroni
@gabyconscious@DecomMunyoro Amekutapeli nini mkuu. Ujue kitu kama hujui ukaege kimya tuu. Ukicheck gari nyingi anazopo singapore sio ghali kama japan kule nyingi ni rental ndio maana hata condition zake huwa sio nzuri japo huwa ni top trims. Pia usafiri kuja huku ni rahisi maana ni karibu. Mchawi ni kodi
@starvie_@millardayo Tanzania pia inalima mbona. Kunywa kahawa kama mbadala maana naona na wewe ni mhanga mwenzangu wa kuumwa kichwa dawa apple au kahawa