@oyugi437@DukeOfSavannah Both Christians and Muslims were killed. Even the Muslim Religious leaders who were praising the government were killed. They were killing everyone.
@ayubu_madenge Sasa ukiwa kibaraka una uwezo wa kumkatalia jambo bwana wako?Kagame had no choice. Angekataa aone kelele za demokrasia zingepigwa huku na huko. Ndio raha ya kuwa kibaraka hiyo. Hivyo vingine visingizio tu.
@erephato@Jambotv_ Acha uongo, watu tumechoma hii chanjo kitambo na tunadunda tu. Nchi nyingine mtoto akizaliwa tu anachomwa chanjo ya homa ya ini. Sisi ndo bado tupo gizani
@TheKingbata@JamiiForums Mfano mzuri ni Uganda na Rwanda. Hutasikia Museveni na Kagame wanatajwa vibaya maana wanawapa mabeberu kile wanachotaka. Hayo yote ni maneno ya kwenye kanga tu
@heroTZA@Jambotv_ Hapo Rwanda huwezi hata ukafungua mdomo wako kuongelea siasa ukiwa barabarani, huwezi hata ukamsema vibaya Kagame, ukithubutu polisi wanakutia pingu hapo hapo. Ulishawahi kusikia Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya wanamkosoa Kagame? na Kagame ukimkera anakuua tu hajiulizi.
@madkaji1967@Jambotv_ Hakuna nchi inayotusaidia kwenye shughuli za maendeleo, hao wote ni wanyonyaji. Hakuna mtu mwenye huo upendo hapa duniani wa kuja kutusaidia. Hayupo.
@TosanHarrimanDr@marcus_herve@GoitaAssimi Coupists according to you and colonizers, revolutionaries according to us. And stop lying, no inch of the country is in the hands of any terrorist. The cities of Timbuktu and Kidal which were under the control of terrorists for over ten years,were liberated about 3 years ago.
@DekuKormla @marcus_herve@GoitaAssimi But it is civil when those foreigners loot their resources in the name of investment. It is civil when Mali, one of the top producers of gold in the world is classified as one of the poorest countries in the world while foreigners make billions of dollars from Malian gold.
@ananse__kwaku@marcus_herve@GoitaAssimi General Goita is the strongest link coz he is the one who started this revolution. Alone, he fought ECOWAS, AU, EU and UN. He was sanctioned by all his neighboring countries, his own country was almost captured by terrorists but he stood strong and won. THE LION INDEED.