@SuluhuSamia Nikweli alisaidia wanawake ila sisi wanaume hajawahi hutusaidia tunadai pesa zetu pspf tangu mwaka wa pi2 wa awamu ya kwanza ya utawala wa jpm hadi sasa tunazungushwa tu wakati mnatuunga kwenye hiyo mifuko hamsumbui tukija kudai haki zetu makosa yanaanza siyo vizuri @SuluhuSamia
@DrHmwinyi Mh Rais @Dkmwinyi Salaam Alayhikum warahmatullaah Wabarakatuh๐
Mimi ninayo ujuzi wakutengeneza bidhaa tupate pesa vijana wapate mafunzo na ajira naomba utuwezeshe mkuu na ndugu yangu katika imani naomba kuwakilisha