@Sherry_Tz Kama kiganja cha mguu wako kipo sawa na sehemu ya paja upande wako wa nyuma fresh.lkn siyo useme wakati mguu unamaganza asee hapo ni fangasi kinachofata nikufariki tu.
@mkandamizaji@chrismauki naona alisoma saikolojia kwenye chumba cha watu waliofeli,ndo maana maada zake nyingi zimelalia upande wa wanawake.inaonekana kaishi sana na jinsia ke.hajaishi uswazi huyo,@mkandamizaji umeongea kitu poa kabisa
@darmpya_ CCM mbele kwa mbeleeee hahhahaa,jamaa anaakili kama gongo wazi fc.tatizo kinacho wapeleka watu bungeni n njaa siyo kitu kingine,sasa analia utasema kakutwa na covid
@MrsMunishi Hivi pale unapo achana na bwana yako kwa tabia flani flani na kudaty na bwana mwingine mwenye tabia kama za X wako,ni kitu gani huwa unaamua baada ya hapo hahahhaaha