@WilliamBonipha1@godbless_lema Madamano ni haki ya kikatiba na sio takwa la Mama huyo, unaemsujudia broo majority yapi, kenge kama izi bwana zinakiwa ziwe kimya tu.
@SuluhuSamia Iyo ni kwa Ajiri ya Mahali nahitaji kuoa mwanamke alielelewa na Baba na Mama, na kutoka familia Bora iyo pesa inatosha kila kitu. Kujikimu naweza
@SuluhuSamia Mh. Najua Kuna siku ulitoa ujumbe mzuri, kwamba wengi hatuoi, ni kweli tunataka kuoa ila kipato, Mimi naweza kujikimu mahitaji Muhimu lkn Sasa miaka 29, ningependa mm kwenye " Happy birthday party ako, unitunuku 5Millioni, hakika mwezi wa 4, haufiki nitakua nishaoa.
@Bsp13829166@Kalikalanje@kwamekivaisi Wewe IQ, ndogo mno ata ningezungumzia Duani, lengo ni kumulika Organization, haijarishi ni mfano upi bumunda wewe, nyie ndo mliwafanya walimu hawajui kufundi kwa uelewa finyu.
@Bsp13829166@Kalikalanje@kwamekivaisi Ulaya, Morocco nchi za kifalme ila inamisingi mizuri ya kiongozi, na nchi nyingi lkn watazania tunaitaji misingi Bora, hasa ya kiuajibikaji, kiusimamizi wa Mali za uma, sio kuwa wafujaji na sehemu za haki zimehoziwa na watawala, nchi kama hii mnyonge atanyongwa daima.
@kwamekivaisi Toeni hoja zenye mashiko chadema Wana hoja zenye kueleweka , sio ukumamae wa watu wenu wanatulaza Giza kwa huduma tunazozilipia, sukali juu, nauli juu uchoko mtupu, hafu unaibuka shoga kama wewe unaongea usenge usioeleweka na wajinga wezio ndo wanakusapoti