@NotoriousJayZ1@TanzaniaLeaks Hee Dr Slaa ni mtu wenu Muhimu?? a traitor kawasaliti wakati mnapitia wakati mgumu, watu wameomba Asylum, yeye akaona aende CCM na awe balozi.
Kama humjui Slaa basi atakushangaza his not credible at all, kahasi kanisa, mke, imani, cdm na hata ccm ๐ .
@BobWangwe@freemanmbowetz, ukishindwa Kesho kawatoe kwenye Ofisi Pale Mikocheni Chukua Nyumba yako ๐คฃ, na zile Ford Ranger nimda wakuzichukua Pia. Kuna Mali za Mbowe na Mali za Chama. Ukimaliza Nenda CCM gombea Ubunge, rudi bungeni. Najua CDM uchaguzi huu 1% ndio wataingia Bungeni.