@Sativa255 Kiuungwana nadhani sativa ungeanza kwa kuwapongeza madereva na wataalamu kwa kuona tatizo na kuamua kutopeleka treni ili kuepuka maafa. Pia madaraja yanatengezwa kwenye mito ipi? Maana hausemi ubora au ubovu wa daraja badala unalalama daraja kujengwa kwenye mto mkubwa. Toa hoja
@mdudechadematz Mdude nyie ndiyo wale mnaotaka Kiongozi afanye maamuzi ya haraka kimhemuko ili mseme hafuati taratibu za kisheria. Kesho serikali ilipe fidie mpate pa kuanzia. Tatizo la vyama visivyo na sera hutafuta matukio badala ya ajenda
@mdudechadematz Mdude kwanza acha dharau, huwezi ita ulinzi wetu wa kishamba. Hujui security details za viongozi hivyo tulia. Unajua Biden pale alipo hakuna hata harufu ya vita unasema yuko uwanja wa vita we jamaa!. Biden angani kuna B52 ngapi na opens guns? Acha siasa za domokasia hizooo