"Kitendo cha Mataifa ya Magharibi kuendelea kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Zimbabwe ni kuonyesha Dunia,Ushetani ni Asili yao na hawapo tayar kuuacha,Mataifa yote yamuaminiyo Mungu yatoke hadharani kama Tanzania,Nchi za SADC kulaani,kukemea uminyaji wa haki za wanazimbabwe"-Kubecha
"Kazi za uongozi zinahitaji uvumilivu na kumtanguliza Mungu mbele, utasemwa saa nyingine usisemwe vizuri, lakini hiyo ndio kazi ya uongozi, uongozi ni pamoja na kuchafuliwa, ninachowaomba katimizeni wajibu wenu kaangalieni sheria na haki ili kuwatumikia Wananchi"-JPM
#KiapoIkulu
Dc akiwa na Wajumbe wa Kamat ya Ulinzi na Usalama walitembelea Kitongoj cha AMKENI,Mji wa Newala na Kukamata Gongo Lita 180,Gunia (3) zilizokuwa na Korosho na Gunia 31 zilizokuwa Hazina Korosho,Mtuhumiwa (AYUBU) huyo alikiri kuwa anafanya KANGOMBA na Hiyo Gongo ndio Biashara Yake
Kikosi cha Taifa Stars kimefanikiwa kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) itakayofanyika nchini Cameroon mwakani....#uhurusportts
#TUMEAMUA kuanzisha safari mujarabu ya ujenzi wa Hospitali ya Kanda mkoani Mtwara itakayogharimu TZS Bilioni 16.48. Tayari TZS Bilioni 6.3 zimetolewa na Serikali ya kazi ya Rais @MagufuliJP na kazi inaendelea. TUMEAMUA.
#JPM4#MiakaMinneYaKuboreshaMaisha
.....Aidha Uongozi wa seneti Mkoa Chini ya Ndg.Davis Peter, kikao kimeazimia kamati za ushindi za kutafuta kura za CCM katika uchaguzi wa Nov 24, 2019.Zianze kazi Mara tu baada ya vyuo kufunguliwa Nakuhimiza wanachama na wapenzi wa CCM katika maeneo ya vyuo kushiriki kikamilifu.
Katika kikao hicho Ambacho Mwenyeji wake akiwa Mwkt Uvccm Mkoa wa Mwanza Ndg.Jonas Lufungulo, Ndg Asha amefika mwanza akiwa anatokea Simiyu katika kongamano la Maadhimisho ya Miaka 20 bila Mwl.Nyerere lilioandaliwa Na @uvccm_tz kwa ushirikiano wa Pamoja na UVCCM Mkoa wa Simiyu.
2/2 kuwashurutisha watanzania waichukie serikali,kuwahurutisha watanzania waamini uzushi na uongo wenu dhidi ya maendeleo ya Nchi.Washurutishaji wakubwa nchi hii ni Viongozi wakubwa wa vyama viwili vya upinzani nchi."
1/1 "Hakuna ushurutishaji mkubwa kama kuwalazimisha wabunge wa chama chako wachange michango kisha ule wewe bila utaratibu,kujimilikishia uenyekiti wa chama bila utaratibu,
"Chama cha siasa mtaji wake ni watu,pale chama kitakapoacha kutumia Rasilimali watu na kujigeuza kampuni au taasisi ya kifedha hapo ndipo uhai wa chama hicho unapopotea bila kutumia nguvu kubwa kuupoteza." JK.Mghamba-MNEC-Vijana