@ochukonde98@Sativa255 Swala sio chuki, ila @Sativa255 anasema ukweli. Serikali ndo ya kulaumu kwenye hili. Swala la weledi na kukamilisha vitu kwa wakati ni ๐ฎ. Just consider mwendokas to mbagala.. ni upuuzi kwa sababu hawawajibiki kwa wanachi ipasavyo.
@Sativa255 Nashangaa wanaobeza alichokiongea gwajiboy, kisa ni mwanaccm, Et "mnaanzaje kumwamini mnufaika wa mfumo etc". Swala la msingi kaongea vitu vya muhimu kwa wakati sahihi. Hii itawapa ujasiri wengi na hivyo kuongeza kundi la wanaopinga hali hii. Well said Pastor Gwajima.
@MchelseaTz Chamou ana anapitwa kirahis kwenye mbio, pia mzuri kwenye tackling ukilinganisha che. Kuchoma kwa hivi karibu kwa che kumempunguzia sana credit, lakin averall yeye ni bora mbali mno kwa chamou
@Simbascot@Kilain7@EsirEid@DedanWangwe Mimi nipo na wewe @Kilain7 Huwezi simamia au kuongoza kundi bila kushawishi unaowaongoza kwamba unaongoza au kusimamia vizuri. Na hiyo ndo siasa yenyewe kwenye utawala.
@chapo255 Inasikitisha sana konde kutumia reference ya yeye kulipa pesa WCB wakati anaondoka. Anasahau kabisa ukubwa ambao wcb ilimpa (easy in top 5 of the best), kulinganisha na ibra alivyo sasa. Plus yeye alitoka akiwa kweny mchakato wa kuanzisha lebo yake, tofaut kabisa na ibra
@Usinune_basi@dokunguruma@Captainpilo7 Mkwawa wakati huo ilikuwa na high school pa1 na ed collage. Iliwapa option advanced leavers wake kuendelea na diploma of education directly. Inasemekana walidahili hata baadhi ya wenye div 2, hasa waliotokea familia maskini, waliohitaji ajira mbele ya chochote kile.