@TheChanzo Vijana wanamezeshwa sumu kuichukia serikali yao π yaan kumbe ccm bado mnaamini vijana ni wale wa miaka ya 1900's
poleni sana! kama mnatuchukulia kama vipofu tusioona basi mjue tu tutawachukia zaidi ya sasa
@mangekimambi Hivi hawa ccm wanatuonaje! Wanatuchukuliaje hasa!! Kwamba muue ndugu zetu kiasi kile alafu tukae meza moja na nyinyi turidhiane! Huo utakuwa ni upumbavu wa aina gani! Hakuna maridhiano, na wanaotusaliti nao watanywea kikombe kilekile cha ghadhabu za watanganyika.
@JohnNgutiCDM Wote waliokubali kufanya hayo maamuzi ya kipumbavu, walaaniwe kabisa, PUMBAVU zao,
Wamekubali kushiriki mauaji ya WATANGANYIKA wenzetu kwa ada ya vijisenti!