@azamtvtz Huyu raisi wetu jamani mm sielewi kabisa mnaomuelewa mnieleweshe na mm basi hahahahah siku hizi unapendeza hahaha lkn hata sura yake n nzuri tu watu hahahahah
@IAMartin_ Hakuna elimu Bure kwani Nina mdogo angu kuchaguliwa shule ya gvm lkn hadi sasa gharama tulizotumia ni more than 200000 ili kukamilisha kila kitu kilichoandikwa kwenye form sasa utajaribu vp kusema elimu ni bure
@mshambuliaji Huyu mama katudhulumu sana tu sisi wana young Africa sport club
Nchimbi onside yeye pyeeee pyeeee offside
Kagere kashikwa nje kadondokea chumbani yeye pyeeee pyeeee pyeeee penalty
Team inaenda kushambulia inakaribia 18 yeye pyeeee pyeeee pyeeee kagere kakaa chini wala hajaumia