@PatricOleSosopi Poor thinking. Usafirishaji kwa njia ya bomba ni salama sana kimazingira kulimo gari au treni so hii ajenda wewe umeitoa wapi. Exmpl. Tazama nitajie enviromental impact ilio sababisha in 20 years ago
@WideEdson@George_Ambangil Mid bora kuwahi kutokea na ikafanya kazi ni iniest, busi, xavi mm nitatembea nayo hao wengine inaweza isiwork coz ya kuzoeana style ya mchezo na nk
@HKigwangalla In total, you spent 800 + 1100 = 1900 on buying the cow.
You earned 1000 + 1300 = 2300 on selling the cow.
Therefore, your profit is 2300 - 1900 = 400.
You earned 400.
@Neypaul01 Sitetei ila kama ungekua wewe ndio kiongozi wa dini kuna pisi hata ukisingiziwa watu tutapata maswali kidogo ila hizi pisi walizoweka hata kama unaenda kununua malaya ukakutana nazo huchukui io ndio mimi napata ukakasi wa ukweli wa hili swala. Wanaume embu tuseme ungekua wewe
@JamiiForums Kuna mambo yakuongea kwa kuangalia wenzetu ila sisi na jamii zetuu bado watoto wa shule za sekondary ukiwapa huo uhuru unaua elimu yetu. Kabla ya kusema hayo msemaji angetembelea hizo shule hasa za bweni ajionee hali halisi ndio ashauri. Viboko vinasaidia kujenga nidhamu mashule