@VitusNkuna Aisee inaonekana ulikuwa galasa ndani ya chama chenu jinsi jamaa zako wanavyokukejeli Bora ungehama kimyakimya๐,Yani kati ya wote walioondoka we ndio unaoneaha haukuwa na impact yeyote ndani ya chama chenu๐
@Afisa_Kipenyo1 @ChiefLumanyika Inasikitisha Sana Yani we unahisi wao ni timamu na we unamapungufu? ๐๐ฎ,ni ujinga kiwango Cha lami kuhisi wewe huna uwezo wa kujenga hoja mbele Yao, Yani we unahisi wao ni akina Nani labda mpaka ujishushe kwao kiasi hicho?
@MbughuniTimothy @ChiefLumanyika @MariaSTsehai Endelea kumfaham, Ila pole Sana Kama wewe unamfaham hivyo๐,nenda kaone anavyoruka na tajiri la kihaya now, ndio utajua ni mtu wa aina gani, weka hisia pembeni tumia ubongo kidogo utamuelewa ni mtu wa aina gani.
@EsirEid@DrMichaelBiseko@MariaSTsehai@NgowiBrays15058@Eric__Bernard@Sativa255 Huyu dada Huwa ni mjinga Sana, anapenda kusambaza chuki kwa watu sijui Huwa yukoje, Huwa anafikiri kwamba yeye Huwa Yuko sahihi kwenye kila Jambo Yani Kama mungu, ukimpinga tu, wewe ni CCM au hauna akili,alafu kichwani ni mweupe Sana ukimfatilia๐ฎ
@barackmtulo @ChiefLumanyika ๐,sijawahi ipenda siasa kwaivo sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote, kwani hakuna mwanasiasa yeyote duniani ambaye ni mkweli Ila Kuna wenye unafuu, mi nishabiki wa tawala za kijeshi kwani watu Huwa wanawajibika ipasavyo Ila sio wavaa suti, gadafi, sankara now traore
@MbughuniTimothy @ChiefLumanyika @MariaSTsehai Unamaanisha hoja za mwaka juzi au? Sijakuelewa, pili hakuna kitu kimepungua yeye kuniblock kwani ni mtu nilimkuta Twitter by that time now ni X, na tukaachana humu kwaivo sioni sababu ya kuanza kutuaminisha lolote, unataka sawa hautaki sawa, ni hivyo.
@MbughuniTimothy @ChiefLumanyika ๐,Yani unafikiri kila mtu humu ndani ni wamatusi? Mimi sio mfuasi wa chama chochote na sipendi hizo siasa kwani hakuna mwanasiasa mkweli wote ni waongo Kama yupo muweke hapa