@mangekimambi Walichofanya Libya na Iraq ilikuwa kwa maslahi ya marekani/Israel na sio raia wa nchi hizo.
Haya ya Iran sio huruma ya marekani kwa wa iran, bali maslahi yao na israel.
Sikutegemea maneno haya toka kwako, aibu naona mm!
@_uzalendo@KenyanSays Historia ya vita dhidi ya Idd Amin haina tofauti na historia ya mapinduzi ya Zanzibar. Behind the Curtain, zilisukumwa na udini chini ya uratibu wa kanisa. Dk Slaa mara kadhaa amekiri tulipewa uhuru kwa guarantee ya Kanisa. So, wanajiona 1st class group kwenye kila jambo nchi hii
@mitakuul@KenyanSays So, kwa kuwa wamehusika Congo, Afrika ya kati na Rwanda pekee basi hakuwa na haki kuwakumbusha watu jinsi kanisa sometimes linatumika kusukuma ajenda za kisiasa kiasi cha kupelekea mauaji?
βBecause the church said the EAMWS was dangerous in that it would weaken Christianity, it had to be so.β
βMwalimu Nyerere used his political powers to ban this legitimate organisation, to confiscate all its properties and to impose on the Muslims a PUPPET ORGANIZATION , BAKWATA. As its name suggests, the EAMWS was a welfare organisation whose primary objective was to provide education and health services.β
Hayo sio maneno yangu. Hayo ni maneno ya Muislam Mwenzio, mtu mzima kutuzidi, mwanazuoni HAMZA MUSTAFA NJOZI kwenye kitabu chake cha MWEMBECHAI KILLINGS AND THE POLITICAL FUTURE OF TANZANIA
Maarifa Vitabuni
@MariaSTsehai Kila aliepoteza mali yake, anayo nafasi ya kuipata tena kwa kuwa yupo hai. Wapo watakaolipwa na bima, wengine watakopa na kusimama tena. Vp kwa aliepoteza mtoto, mume au ndugu? Ni nani anaweza kufidia uhai wa mtu?? Lkn mwenyewe hataki kuwajibika, anaona poa tu yatapita!!
@SimbaSCFansPage Nita unfollow hii page. Mmepoteza mashabiki wengi, na wengine wapo kwenye majonzi. Hamjatoa hata pole! mna post mambo as if nothing happened!!! Unapata wapi huo ujasiri? Au ni maelekezo ya serikali???
@Mwitah_tz Viwandani hasa sector binafsi wa ainishe pia aina za kazi ambazo hazipaswi kufanywa na wageni. Baadhi ya viwanda tunashuhudia vioja kwa kazi ndogo zinazopaswa kufanywa na wazawa zinafanywa na watu kutoka nje ya nchi
@MwanaHabariNews Elimu ndoto tu ya Uislam ingetosha kumuepusha dr Sulle (mganga wa kienyeji) na haya mambo. Kutumia jina la shekhe au ustaadh ni kunajisi uislam ambao katu hauwezi ku support maigizo, hadaa na jinai zinayofanywa na seriali kwa jina la "uchaguzi"
@godbless_lema Nadhani hii ni habari ya kutunga. Lkn kama ni kweli, ondoka zako ndugu, wa tz tuna support uholela na ubaya wa serikali hii. Labda mungu akikupa uhai, utashuhudia badiliko la fikra za wa tz miaka kadhaa ijayo. Lkn ukimuachia mungu, tutakuzika!!