@YerickoNyerereT Chama imeporwa kwenye mikono ya wasaka tonge kama wewe roho inakuuma sana toka ulipokosa kazi ya uchawa kwa Mwamba si ulisema Chadema itakufa? Sasa tulia acha ife nyie jengeni Chama chenu Cha ubwabwa halafu mkafanye hivyo unavyotaka Chadema iwe.
. @HecheJohn Keep standing with the people……….. WANANCHI KWANZA, CHAMA BAADAE!!!!!!!!!!!!!
Wewe na Lissu mnashikilia ndoto zetu na matumaini yetu. Kila kitu tumeweka kwenye mikono yenu nyinyi wawili.
Please msituangushe,
Sisi hatutaki maridhiano na waliotuua kabla ya uwajibikaji na ukweli wa October 29. Hatutaki na hatutayatambua maridhiano ambayo hayatosimamiwa na International community. Na bila Tundu Lissu mezani kutuwakilisha Watanganyika hatutatambua maridhiano yoyote. Na wakimnyonga ndio wasahau kuna kitu kinaitwa maridhiano kitakaa kitokee Tanzania. THIS IS A PROMISE!!!!! Ni itakuwa mtifuko mpaka milele!!!!!!
@HecheJohn Sisi wananchi tuliopigwa risasi kama mbwa hatutaki kupeleka pole wala rambi rambi kwa shetani wa miguu miwili alietuua kama kuku.
Tuko tayari kuishi kwa chuki na mshike mshike mpaka haki itakopatikana ila katu hatutaki amani ya kinafki na waliotuua ili washikilie madaraka bila idhini yetu.
Na katu hatutokubali statement za ‘Let Love lead’ tunataka statement za ‘LET JUSTICE LEAD’. Love iliisha October 29 2025, sasa kinachotafutwa ni haki. Haki ikipatikana Love itakuja yenyewe.
Na katu hatutokubali kumtambua Samia Suluhu kama Rais wa Tanzania au serikali yake kama serikali halali.
Huu ndio msimamo wa wananchi, NAWASILISHA!!!!!!
@PMadeleka Haiwekani lazima Sophia apate utetezi wa wakili nguli kama wewe watuambie wakuu wa mikoa kama Wana Dunia yao nyingine ya mahusiano.
Sophia hajakosea na wanachokifanya ni udhalilishaji wa kijinsia.
Dua na sala mapema leo, Jumanne, tarehe 30 Juni 2026, kabla ya kuanza kwa kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kinachofanyika mjini Kigoma, Kanda ya Magharibi.
‼️ALERT‼️🚨
Polisi wenye silaha za moto, wakiwa na gari zao, wanafuatilia msafara wa Makam Mwenyekiti Mhe. John Heche
Mhe. Heche pamoja na msafara wake wanatoka Tabora mjini kuelekea Kigoma ambako wanavikao vya Chama.
Ikumbukwe leo Mhe. Heche alitakiwa kufanya Mkutano hadhara jimbo la Urambo lakin Mkutano huo umezuiwa na Jeshi la Polisi kwa maelekezo ya Nduli Idd Amin Mama.
Haya magari na hawa watu wanaokuja kwenye mikutano yetu kwa njia za kufuatilia kwa njia zisizo za wazi..
Wanapaswa kujua Tunajua na tunawaona.
Sisi tunafanya siasa na tunafanya kazi yetu ya kikatiba, hatuwezi kukubali kutishiwa wala kuogopeshwa.
Acheni uhuni huu.
#TANZANIA: CHADEMA WASEPA NA WANA KARATU, NYOMI KAMA LOTE
Hivi ndivyo CHADEMA walivyosepa na Wananchi wa Karatu mkoani Arusha, wawasha nyekundu na nyeupe, maelfu wajitokeza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Juni07, 2026.
Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa inafanya kazi ya kuchochea machafuko.
Sisty Nyahoza aliekwenda kwa marehemu mama Komu na kumshawishi kusaini karatasi ya kufungua kesi ambayo ilifungia chama chetu kufanya kazi siku 309..
Madhara mengine walitaka kukifuta chama kupitia kesi hiyo ya Said Issa.. kwa uwezo wa Mungu tumeshinda..
Sasa Sisty huyo huyo na ofisi hiyo hiyo ambayo inafanya kazi ya kuhujumu chadema usiku na mchana tena wazi kabisa. Inatuandikia barua kila baada ya mkutano na kila neno tunalosema… Maneno pekee tunayoweza kusema tusiandikiwe barua na Sisty ni kumsifia Samia na serikali yake dhalimu ambayo haikuchaguliwa.
Kwa kifupi ofisi ya msajili itaingiza Nchi hii kwenye machafuko ya kisiasa..
Chadema ni taasisi ya Watanzania na Watanzania watailinda dhidi ya hujuma zote.