@BarakaEnock_ Badala ya kupiga marufuku mikusanyiko ya kipuuzi kama hii kuna watu kwa ufinyu wa mawazo wanazuia mikusanyiko ambayo kama wangekuwa nacweledi wangeitumia kuchukua changamoto na kuzitumia kuboresha upngozi wao, kweli ujinga ni mzigo
@Oraibtz Kwa hiyo huyu mjinga ameamua luicgafua serekali yetu na vyombo vyote vya ulinzi na usalama kwamba ni vya hovyo kuadi hicho, kwamba watu wasio na vibali wameingia nchini wamekaa mpaka wameondoka kwa tamko la waziri, uhamiaji, police, usalma wa taifa na hata jeshi lipo tu,
@Bendevelarian98 Moja ya njia ya kumjua mtu aliyemezeshwa maneno ni kuangalia midomo, ukiona kila baada ya maneno mawili matatu analamba midomo basi jua ni mwongo na hana anachokijua kuhusu anachokisema
@HecheJohn Kaka jitahidi kuficha aibu ndogondogo kama hizi za kuyoijua hata katiba, yaani wewe na utu uzima wote huo huwezijua kama maandamano ni haki ya kikatiba ya watu kuonesha husia zao kweli, au ndo dhambi ya rushwa hupofusha macho ba akili
@mshambuliaji Hawa fifa ni wabaguzi na watu wa double standard, kwamba lile tukio la mess halikuwa utovu wa nidhamu na var haikuliona, upuuzi mtupu kama mnaamua kusimamia sheria bado iwe kwa wote
@IAmHaule@masoudkipanya Sema hii nchi tunaheshimu sana vyeti kuliko ujuzi, huyu mwamba ni zaidi ya watu wanaomiliki certificate , ma profesa huku kwenye siasa ndo kabisaa kawaacha mbali lakini ajabu mifumo yetu ya kipuuzi eti inamtema, daaaa, kuna siku natamani niongee naye vitu fulani huyu
@HOMESTUDIO8@halimamdee@ChademaTZ2 Tukubaliane kwamba kuna ajali za kusiasa lakini huyu Mdee ni hazina kubwa kwa suasa za upinzani na mageuzi ya kweli nadhani ni muhimu kwa Chadema kutobaki eneo walipoangukua hawa wenzao waanfalie jinsi ya kuwainua hapo na kuendeleza mapambano kiumakini zaidi
@TheChanzo Pengine ni kweli Nape anasema wasituingilie sisi ni nchi huru sasa swali la kujiuliza ni uhuru gani sisi tulioupata, je ni kweli tunao huo uhuru, hebu tembea maeneo mbalimbali uone jinsi USAid ilivyotawala, tuache mikwala mbuzi, turudi chini tutafute suluhu