@fredyfuam ukipima mchango wako na Lissu katika kupambania haki na utawala bora nchini kwetu unafanana? pili anachokipigania Lissu ni kwa ajili ya Watanzania au mabeberu. Tunao mabeberu kwenye mamlaka hao ndio tatizo kubwa. Mwisho tuzo kama hizo hadi Nyerere alipewa vipi nae kibaraka?
@DanyeMufasa Kwanza kabisa nitashukuru serikali ya awamu ya 6 (sita) chini ya jemedari....... dah natania nitamchapa kisha nitamnunulia kiepe na kuku... eebwanaeeh.!! Kwanza madereva wamegoma