Katibu Mkuu wa @ChademaTz Mhe. @jjmnyika atatoa tamko muhimu la Chama kwa umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari, leo Jumatano, Juni 3, 2020. Stay tuned. Asanteni.
"Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz kimesema kuwa kinashindwa kufanyia kazi barua ya msajili wa vyama vya siasa nchini juu ya ratiba kuelekea uchaguzi mkuu kutokana na zuio la mikusanyiko lililopo kwa sasa". @JonMrema
Hamis madegree kiko wapi chama chako ambacho kinaweza kupambana na Chadema bila msaada wa vyombo vya dola? Chama kinachokufa kinawanyima usingizi mpaka mnahangaika usiku kucha kutumia hujuma za kidola kuzuia kisifanye shughuli zake. Ndio maana huwa najiuliza hii elimu yetu ikoje?
Huyu askari polisi anasema yeye ni raia mwema (concern citizen) ameeleza kutokubaliana na Raisi kwa hasira sana.
Ni lini askari wetu watasimama na kusema nimeapa kulinda katiba na nchi, nina wajibu wa kulinda watu wote cc @fatma_karume@kigogo2014 @RealHauleGluck @halimamdee
Kauli za kiongozi wa wanyonge na si watanzania sasa sijuh ni wa taifa gani linaloitwa wanyonge jmni kweli kimetupta kitu @RealHauleGluck @Queen224i @davitheempire @bitur0