@HildaNewton21 Maadili ni mambo yote ambayo yapo sahihi kwa mtu na kwa jamii kiujumla namaanisha kuna baadhi ya maneno makali nahisi ungeya chambua kwanza lingekua jambo la msingi
@fugitiv_patriot@ItsMutai Ruzungu.......!???😳 what kind of language it is.....!? are you out of your mind there's no such kind of language under this universe, now i understand that you kenyan people pretend and try to speak English instead of Luhya, oromo, Luo, kikuyu and swahili #culturalappropriation
Ugonjwa mkubwa wa uchumi unaoukumba watu, jamii na nchi zao kwa ujumla huanzia kwenye falsafa au mtazamo wa kuwekeza mtaji mdogo na kutarajia faida kubwa (think positive )