"Walionipiga Risasi waliambiwa baada ya mimi kupigwa Risasi nizikwe baada ya masaa matatu, haya yote niliambiwa na watu wa Serikalini baada ya kupona", Mhe. @TunduALissu
Wakili @PMadeleka anasema kama Jaji ameona hati ya mashitaka ina makosa na Jaji amekubali hivyo. Alipaswa kumuachia Mwenyekiti na wenzake sio kuwarudisha ndani wakati hati ya mashitaka yenyewe inayowaweka ndani haiko sawa na ina mapungufu mengi.
Licha ya kurejea kutoka safari alfajiri ya leo, nilihakikisha nafika mahakamani kufuatilia mashtaka yanayoitwa ya ugaidi dhidi ya Kiongozi wa @ChademaTz Bwana @freemanmbowetz. Narejea wito wangu kwa Mamlaka kuachana na kesi Hii ya kubumba ili Mbowe awe Huru aendelee na Kazi zake
Mafaili mbalimbali yanaonyesha kwamba:
👉jina halisi ya Rodrigo ni Rodrik Rwebugisa Johnson
👉Mzaliwa wa kijiji cha KYABAJWA-Bukoba
👉Anaishi Rotterdam-Uholanzi
👉Anafanya kazi kwenye kampuni moja ya simu hukohuko
👉Yeye na yule bwana hivi karibuni wamelipwa fedha kwa ajili ya
Kuichafua Chadema. Wanashirikiana na baadhi ya maafisa wa Chadema kuhujumu chama ili kukifanya chama fulani kuwa chama kikuu cha upinzani
👉Huyu huwa anakuja na kuondoka tz, ana makazi mwanza na Dar es salaam
👉Kuna mtu anajiita @Britanicca0, kibaraka wa kigogo na Rodrigo,naomba mumfikishie salam kwamba matango yake pori aliyonitumia DM nimeyapokea,nimeyachambua, nikapata yaliyo mazima.
👉Napokea taarifa nyingi sana DM kutoka vyanzo mbalimbali,lazima vichambuliwe kabla sijaja hapa
👉@Rodrigo88192003 nakuonea huruma sana mdogo wangu. Bado dakika 15, usipotubu mapema hii vita nakung'oa ulimi🤣🤣🤣
👉Saa 10 kamili naanza na huyu mke wa kigogo, alafu naendelea na uchambuzi wa mume wake
Follow, retweet
👉Ujanja wote wa huyo kigogo wenu taarifa alikuwa anatoa kwa @Mchambuzi5 , abishe hapa nimvue nguo nimtahiri bila ganzi. Nitamwaga kila kitu hapa
👉Kama ana ubavu mwambieni ani unblock aje kujibu mapigo hapa,atoe tu kichwa nipige utosini.
👉Hayajui hata kuedit yani, Kigogo umekuwaje lakini?au mahaba ya rodrigo yamekuchanganya sana hadi unapoteza ule umakini wako
👉Yani mmekaa kabisa na kupoteza muda wenu mkaishia kwenye hizo edits za leo!! Uzuri Twitter haidanganyi
👉Mtu wenu ataisoma namba
👉Watanzania jaribuni kufikiri, huyu kigogo wa wiki kadhaa zilizopita ndio yule wa 2014? Au mmebadilishiwa, mmepewa toy???
👉Kigogo amekuwa rafiki wa simba, SSH na CCM alafu amegeuka kuwa adui wa wanaharakati na wanasiasa ghafla, alafu anataka mumuamini!!!
Namsubiri atoe kichwa
👉Rodrigo na kigogo wanarepoti Twitter kwamba picha yao ina copyright. Yanatumia mbinu zilezile za mataga.
👉Sijui wamekuwaje yani
👉Leo wamejichatisha wenyewe alafu wanasingizia ni convo za @Mchambuzi5
👉Yamepoteana. Bado ni ushahidi wa kutosha wa jinsi nilivyomsaidia huyo Mbwa
Watanzania wenzangu tazameni jinsi Mawakili wa Chadema kibatala, @JohnMallya, @TitoMagoti@Advocate_Jebra@PMadeleka na wengineo wanavyofight kwenye kesi za chama na wanachama wa Chadema alafu kigogo na rodrigo na kundi lao ghafla wamewageuka wanaanza kuwabagaza, is it fair?
👉Watanzania jaribuni kufikiri, hivi siku @MariaSTsehai au @fatma_karume akianza kuwapiga spana,kuwabagaza chadema, Mbowe na kila mtu anayeikosoa serikali ya CCM Bado mtaendelea kuwaamini tu,tena ghafla!!
👉Sasa vuta picha kwa Mpumbavu Kigogo, aliyeamua kuuza utu wake
👉Rodrigo nakuonya, huyo mume wako unayedhani anajua kila kitu sisi ndio tuliomfikisha hapo
👉Tazama alivyokuwa akiomba nimpasie info ili azitume mumuone baaab kubwa kumbe wadau tulikuwa tunamwezesha
👉DM kutwa alikuwa analialia kuomba info,leo anajifanya kutanua makwapa,shwain