Kinachotuumiza wananchi ni kuwa viongozi wetu hasa wa chama tawala hawana kumbukumbu za uongo waliowahi kuusema. Ndio maana utekelezaji wa ahadi ni mchache.
@HildaNewton21 @RealHauleGluck @rollymsouth@halimamdee
Nchi inamilikiwa na wananchi (wenye nchi), hivyo wachache wapewao madaraka ya kuwakilisha waliowengi walinde na waheshimu katiba ya nchi ya wananchi.
@RealHauleGluck @MariaSTsehai@halimamdee@fatma_karume
Wanasiasa wengi husahau kuwa ipo siku na wao watarudi kuishi katika jamii wakiwa hawana vyeo bali kumbukumbu ya vyeo. Wataishi kwenye jamii ambayo walipokuwa na vyeo waliisahau na walichokumbuka kuhusu jamii ni kuinyanyasa na kuipora kidogo ilichonacho.
#ElimikaMwanasiasa
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 55. Taarifa ya serikali inaeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo.
#OngozaNjia2020 | #BeLikePlus