@ThabitSenior Wewe tulia cha umbea kazi kusengeja tu, ndio unaipenda. chadema kachukue basi fomu ugombee. Tunasikia unaomba ukimbizi denmark rudi tu udom wanakuhitaji.
@EdgarNicas @zittokabwe@SuphianJuma@ClubMagufuli ZiTTO alimwibia kura Daniel Lumenyera wa @ChademaTz na huyu jamaa tunamkubali sana huku Kigoma. Alijaribu kumnunua kashindwa. Kimbilia tu ukagombee Urais , Kigoma mwendo mmoja na Daniel Lumenyera
@theSICARIO_255 @BestaMlagila@TitoMagoti@TheoGiyan Well, all good man. We endelea na patrol mkuu GM ππΎ @theSICARIO_255. Good to see ya. Sura ya upole kweli kweli. Ila ghadhabu kwenye keyboards huwa unaitoa wapi brother G Msengi?
@MsigwaPeter Rev usisumbuliwe na snitch @mariaSTsehai aka @kigogo2014 curator na hivi kanuna @macdemelo kapata ICJ awards gubu tu. Ana vijana wengi maboya na yule mwingine anayeitwa @leyenda_vivien sikuhizi anajiita @RealHauleGluck , muda wa kuwaanika itakuwa mwakani kamanda @YerickoNyerere
Wapi kamtu kembamba @kigogo2014 ? Tangu picha hii iwekwe wazi hapa Twitter ni almost masaa 18 haonekani hewani,wamepani,wametaharuki,wamepagawa. Unaweza kuichezea,kuitukana serikali kadri uwezavyo lakini inakuangalia kujua mchezo mzima ukoje,mkoje na nguvu yenu iko wapi.