Ni ukweli usiofichika kwamba wafuasi wa @freemanmbowetz uamuzi huu wa Mahakama ni pigo kubwa kwenu. Sasa ule ushahidi wote Kasekwa ndiyo unakwenda kumuingiza Mwenyekiti kwenye tanuru la moto.
#MwishowaEnzi
@lifeofmshaba@fatma_karume Kwa kipindi hicho Idadi ya wanafunzi ilikuwa ni ndogo saizi kuna uhaba wa vyoo na shule nyingine kuwa nachangamoto ya maji kwa sababu saizi tumezaliana tumekuwa wengi, shule zimeongezeka tofauti na zamani mkoa mmoja unakuta unashule 3 tu.
Dr. Magufuli built Selander Bridge, Kigongo-Busisi Bridge, Huduma Bora Za afya, Vituo Bora Za Afya, expanded Port of Dar es Salaam, Dodoma Bus Terminal, an LNG plant, a water project, a wind farm project, Uhuru Hospital project, a gold refinery plant, and Magufuli Bus Terminal.
President John Magufuli made Tanzania a Middle Income country.
He rejected a $10 billion loan from China
He didn't go on state trips outside Africa
He reduced the cabinet's size from 30 to 19
He banned Government officials from foreign trips & abolished their tax exemptions.
UZI: Kwanini TUNDU LISSU hawezi kuwa Rais wa JMT
● Hana uzoefu wa kuwa Waziri au Naibu Waziri kufahamu Serikali inafanyaje kazi, Mhe. Rais @MagufuliJP Atakuwa na nafasi kubwa kushinda kwa kuwa wananchi tunaangalia uzoefu na weledi katika kazi husika.