@ahmed__ally @RabbiHume Hiki kizazi ni cha kukilinda sanaπ₯ huyu dogo kanipangia First Eleven ya Mnyama @SimbaSCTanzania Hadi nikashangaa, yupo Morogoro vijijini (Kisaki) ni shabiki lialia wa Simba, roho imeniuma hyo jezi yake aliyovaaπ₯π₯ @moodewji
Hello ndugu zangu!! Nawaomba na hili pia mtusapoti watu wetu.
Kule Twitter, @mpenjatv tumefungua Page inayokwenda kwa jina la @mpenjatv , tunawaomba sana mtuunge mkono kwa kui-follow.
Page rasmi za Mpenja TV
#Insta : @mpenjatv#Twitter: #mpenjatv
@baraka_mpenja