@ChademaTz Mbona mna hofu sana, UVCCM haijawahi kuacha kuwapeleka Vijana Kambini lengo kubwa ni kutengeneza vijana wawe tayari kwaajili ya kuongoza Chama na Serikali, viongozi wanaandaliwa ndio maana ninyi kuwa viongozi wazuri haiwezekani kwasababu mnakuwa kama mbuzi Unorganized
Hongera sana, na karibu sana kwenye Chama cha kutenda haki, na chenye kusimamia vyema ajenda za Taifa letu la Tanzania Mchungaji @MsigwaPeter, na wewe bado hujachelewa kujiunga na CCM, KARIBUNI SANA, TUNAWAKARIBISHA 🙏🏽🙏🏽
@bavicha_taifa@Twaha_Mwaipaya Korosho wanalima hapa hapa mafuta yanatoka nje ya nchi na bei imepanda kwa akili ya kawaida tu umeshindwa kutofautisha hivyo vitu? Fikirieni vitu msiropoke watanzania now tuna akili hatudanganywi kizembe
@jjmnyika Acha kudanganya watanzania sahivi tunaelewa sanaa, Speaker alisitisha shughuli za bunge kama ilivyopangwa ili kujadili bei ya mafuta na Speaker aliagiza Serikali tarehe 10 walete bungeni majibu kamili kuhusu swala hilo, tukumbuke kodi ya mafuta ipo kisheria hivyo inahitaji muda
@HilmiHilal88@ACTwazalendo Janga la kupanda kwa bei ya mafuta ni Duniani kote sio Tanzania tu na bei ya Mafuta Tanzania ipo chini kuliko nchi zinazotuzunguka. Sio kweli serikali haijishughulishi na hili juzi waziri mkuu, wizara na nishati walikaa kikao kutathimini hili, acha upotoshaji watanzania tunaon
@lifeofmshaba Miradi na mikakati ya serikali haiwezi kusitishwa kisa hali ilivyo kwani hata maisha yawe magumu wananchi wanahitaji maji, hosipitali, umeme, shule na huduma zote za kijamii ukiiambia serikali isiendelee kufanya hivyo binafsi naona unapitiliza uhuru wako wa kuzungumza
@MwanzoTv Serikali haiwezi kuhangaika na kikundi cha watu kisichokuwa na Shukurani na wala hawaoni kizuri bali wao wanalalama tu na kuwaacha wananchi walio wengi. Sisi wananchi tunasema, tunataka maendeleo na katiba baadae coz haimgusi mtu wa chini bali ni tamu za kisiasa
@lifeofmshaba Tanzania ni moja ya nchi inayotoa na kuheshimu haki za binadm hakuna haki yeyote imeachwa nyuma na pia Kila nchi inaweka limitations katika hizo haki kwani inapoishia haki yako ndio inapoanzia haki ya mwenzako, bila kuwek limit watu watukua wanapilitiza na kuvunja haki za wengine
@KomboChadematz Hahahahahaha mnajutesa bila sababu mnajua dhahiri hamna ubavu ya kushindana na CCM Chama kinachopendwa na kukubalika haijawahi tokea Kwa Chama chochote Afrika kama CCM, Duniani CCM ni ya pili mbele yake Kuna CCP ya China