Kijana wa Mwanza aliyesoma IFM na Cambridge UK. Akajikita katika ubunifu wa Teknolojia, akapewa tuzo na Malkia Elizabeth na anakutana na viongozi wakubwa wa dunia na mabilionea. Forbes inasema ni Mtanzania Bilionea ajaye. Isaya Yunge anamuoa Charlene, binti wa Rais Ruto wa Kenya
@BinKombo3@zoetjesheeftX Lakini ndio mfumo bora kwa watu kujitawala na kujiongoza pamoja na mapungufu ya watu. Huo mfumo unaoutakaga wewe ni WA hovyo zaidi na hauwezi kutumika ktk Dunia yenye watu diverse tuliyo nayo!
@EduTalkTz Siasa za Demokrasia ya Vyama vingi mara nyingi huhusisha Michezo michafu ya Kutwist Agenda for Political Survival. Siasa za Lissu na CDM kupinga hatua alizochukua ktk Uwekezaji wa Madini bila kutoa njia mbadala ni mfano Halisi. There was no way Angeruhusu Upinzani wa aina hiyo!
@EduTalkTz JPM was not a good Politician, but a leader. Alikuwa na msukumo wa maendeleo ya taifa zaidi kuliko kufanya Siasa za Kushindana. Aliamini katika Taifa kwanza kabla ya Siasa za Vyama na Maslahi binafsi. He was a Nationalist and a Pan-Africanist.
Financial literacy ni muhimu sana kuanza kufundishwa kuanzia shule za msingi. Just imagine kijana ana make deal anapata 1 Billion Tsh , ananunua G Wagon 700M na so other liabilities. Mwingine , the same amount of money ananua hisa/bond , let’s say appreciation yake ni 12% kwa mwaka + compounding interest. Baada ya Miaka 5 , G Wagon itakuwa imeshuka value kwa asilimia 60% up to 70 % wakati huo aliyefanya investment itakuwa na ongezeko la the same 60 /70 % or more , mmoja pesa yake ilikuwa inaongezeka na mwingine alikuwa anazunguka na gari kuishusha thamani maeneo ya Masaki na Mlimani City.
Haya mawazo yamekuwa serious this morning , kwani kuna siku nilinunua kuku nimchinje , mambo yakawa mengi nikasema nitamchinja siku moja, nikamuacha , sasa akataga, akatotoa na vifaranga , sasa sio kuku mmoja tena , wkt natafakari nikaona chupa ya perfume kwenye dustbin , nikasema unajua hii perfume thamani yake that day ningenunua kuku 33. Anyway naaminI ktk maisha bora na mazuri , lakini our obstacles sometimes ni ktk FINANCIAL LITERACY. Tufikirie Pamoja. Nafikiri Reforms Zinahitajika pia zaidi ktk mindset zetu.
@IAMartin_@freemanmbowetz Kwa nini nawaza tofauti? Siku 7 za ushawishi? Ukimsikiliza Halima baada ya maamuzi ya kufukuzwa tena ni kama kuna jambo limefichika. Je, haiwezekani kwamba kuna Siri kati ya Halima na Mbowe iliyo nyuma ya kilichopelekea hao kuwa wabunge?
@MsigwaPeter Specifically ndivyo mlivyo Wanasiasa, and you inclusive. Generally ndivyo tulivyo binadamu. Actually kutoridhika ni tabia ya msingi inayo-determine hatua za ukuaji binadamu ktk nyanja mbalimbali!
@LumumbaShabani @tweetsrifle Unajua ndugu Lumumba msingi wa maendeleo ya binadamu ni kutokuridhika. Kimaumbile binadamu mwenyewe wakati wote akiwa hai bado ana potential ya kufanya kilicho bora zaidi ya vyote alivyowahi kufanya. So, kutoridhika sio dhambi, na nafasi ya uspika ni mali ya umma.
@lecturewahovyo @enziHamidu @funjojr Moja, hakuna muajiliriwa anayemuaga au kumuomba ruhusa muajiri wake aende akaombe kazi nyingine, na hakuna sheria inayomlazimisha kufanya hivyo. Anaomba kazi na kwenda kwenye interview kimyakimya, akipata kazi ndio anakuja anaandika barua ya kuacha kazi.
@BestaMlagila@hpolepole Besta unamjaribu Polepole very unnecessarily, kwani si alishasema wahuni wana sifa gani. So kwa mfano unahitaji akuambie wala rushwa ni nani na nani? Wananchi si tunakutana nao kwenye ofisi za umma? TAKUKURU si wana cases za baadhi yao. Kwamba hauna akili ya kuwajua hao?
@MarekaMalili Tatizo Ustaarabu tu! Na hii ni kwa Waafrika tu wote kwa ujumla na ktk mfumo mzima wa maisha yetu. Na ndio maana ni ngumu sana kuwasimamia na kuwaongoza Waafrika kwa standards za uongozi za wenzetu, inabidi tu tuwe na namna yetu ya kujiongoza na kujidhibiti, nguvu kidogo n.k.