Kama kweli U-engineer unalipa..,
Kwanini wafundishe chuo kikuu.?
Kwanini wanaojua u-engineer wasijifungie wapige hela zao tu..?
Kama kweli wanapata hela si watufundishe bure.?
Au si wafundishe ndugu zao tu.?
(Hii ina tofauti gani na wauza kozi za foreksi.?)
SHTUKA BRO😌
YouTube ni chuo kikuu Cha bure.
Kuna chaneli zaidi ya 40,000,000 huko, ni ngumu kupata channel nzuri.
Wakati napitia machungu ya kuchoma Account, Nilikua natumia masaa 6 kila siku kujifunza Trading YouTube.
Hizi hapa Trading channel
8 zitakusaidia kuijua Fx vizuri.
>>Uzi<<
Nahitaji madogo 2 ambao wapo tayari kujifunza na wana idea na web, ui/ux na after effect
Kama una mdogo ako au mtu unamjua niunge naye ambaye atakuwa serious kidogo age limit 25